Dkt. Wibroad Slaa ni Ndumilakuwili

Dkt. Wibroad Slaa ni Ndumilakuwili

Slaa aliyegeuka akawa chawa wa Mwendakuzimu? Pale ulikuwa ukitafutwa ushindi kwa mbinu ambazo wao waliona ndizo zitawapa ushindi jamaa kilichomkimbiza ni ile kutokuwa flag bearer, hata kama ingekuwa ameona 'wenzake' wamekengeuka kitendo cha kujiunga na mtesi ambaye aliua, alijeruhi na alipoteza baadhi ya 'wenzake' hiyo si tu ni kuwa kinyonga bali ni kuwa msaliti na kuwa muuaji kwa kuwa ameungana na wauaji.
Dr. Slaa aliondoka CCM na tangu hapo hajajiunga na CCM. Dr. Slaa alipewa kazi ya utumishi wa umma na akaifanya vizuri. Mpaka hivi sasa kuna watumishi wa umma maelfu ambao ni wanachama wa upinzani. Ina maana ninyi upinzani hasa CHADEMA wanachama wenu wote hawatakiwi kuwa watumishi wa watu/serkali katika nyanja mbalimbali. Dr. Slaa alikuwa na haki ya kuteuliwa na kuikubali kazi ya umma. Yeye hajatangaza hata siku moja kujiunga na CCM na mpaka leo si mwanachama wa CCM. Kama ni mamluki basi hata Mbowe ni mamluki. Ameingia makualiano ambayo hayana tija na CHADEMA. Amepigwa fix na Samia sasa wanangoja azunguke TZ amalize pesa yote na kuchoka, utakapofika wakati wa kuuza sera atakuwa kawa chakari kama mlevi alieacha kunywa konyagi na kuhamia kwenye gongo.
 
Ku
Huyu ni mwanasiasa mwenye tabia ya kubadilika kama Kinyonga abadilivyo rangi yake. Watu wa upinzani, hasa Chadema wawe naye makini sana. Wasimkubali tu ghafla na kumpa nafasi kwani atawavuruga halafu mwisho wa siku mnabaki bila faida.

Chadema mnao watu wenu mliowatengeneza wenyewe wazuri sana. Watumieni na kuwaamini hao. Achaneni na hawa mamluki waliotimwa kuuharibu upinzani.
Kuna mwanasiasa ndumbilakuwili kama Mbowe aliyegeuza gia angani! nilikuwa mwanachadema mzuri, baada ya gia ya angani ya Mbowe 2015,niliona amna mwanasiasa mkweli tanganyika,wote wanasiasa maslahi
 
Dr. Slaa aliondoka CCM na tangu hapo hajajiunga na CCM. Dr. Slaa alipewa kazi ya utumishi wa umma na akaifanya vizuri. Mpaka hivi sasa kuna watumishi wa umma maelfu ambao ni wanachama wa upinzani. Ina maana ninyi upinzani hasa CHADEMA wanachama wenu wote hawatakiwi kuwa watumishi wa watu/serkali katika nyanja mbalimbali. Dr. Slaa alikuwa na haki ya kuteuliwa na kuikubali kazi ya umma. Yeye hajatangaza hata siku moja kujiunga na CCM na mpaka leo si mwanachama wa CCM. Kama ni mamluki basi hata Mbowe ni mamluki. Ameingia makualiano ambayo hayana tija na CHADEMA. Amepigwa fix na Samia sasa wanangoja azunguke TZ amalize pesa yote na kuchoka, utakapofika wakati wa kuuza sera atakuwa kawa chakari kama mlevi alieacha kunywa konyagi na kuhamia kwenye gongo.
Ungeandika post yako kama a real critical thinker labda ingeweza kuwa na maana, lakini haishangazi kwani hapajawahi kuwepo Sukuma gang mwenye akili.
 
Huyu ni mwanasiasa mwenye tabia ya kubadilika kama Kinyonga abadilivyo rangi yake. Watu wa upinzani, hasa Chadema wawe naye makini sana. Wasimkubali tu ghafla na kumpa nafasi kwani atawavuruga halafu mwisho wa siku mnabaki bila faida.

Chadema mnao watu wenu mliowatengeneza wenyewe wazuri sana. Watumieni na kuwaamini hao. Achaneni na hawa mamluki waliotimwa kuuharibu upinzani.
Kuna ukweli asee
 
Back
Top Bottom