Hivi mbowe na dr silaa nani ndumilakuwili?Huyu ni mwanasiasa mwenye tabia ya kubadilika kama Kinyonga abadilivyo rangi yake. Watu wa upinzani, hasa Chadema wawe naye makini sana. Wasimkubali tu ghafla na kumpa nafasi kwani atawavuruga halafu mwisho wa siku mnabaki bila faida.
Chadema mnao watu wenu mliowatengeneza wenyewe wazuri sana. Watumieni na kuwaamini hao. Achaneni na hawa mamluki waliotimwa kuuharibu upinzani.
Hivi ni mwanasiasa gani ambaye habadiliki.Huyu ni mwanasiasa mwenye tabia ya kubadilika kama Kinyonga abadilivyo rangi yake. Watu wa upinzani, hasa Chadema wawe naye makini sana. Wasimkubali tu ghafla na kumpa nafasi kwani atawavuruga halafu mwisho wa siku mnabaki bila faida.
Chadema mnao watu wenu mliowatengeneza wenyewe wazuri sana. Watumieni na kuwaamini hao. Achaneni na hawa mamluki waliotimwa kuuharibu upinzani.
Naunga mkono hoja yako,huyu Mzee siyo wa kumuamini kabisa,kama akileta wazo zuri lichukuliwe na kufanyiwa kazi ila yeye kumkaribisha chumbani big no !!!Huyu ni mwanasiasa mwenye tabia ya kubadilika kama Kinyonga abadilivyo rangi yake. Watu wa upinzani, hasa Chadema wawe naye makini sana. Wasimkubali tu ghafla na kumpa nafasi kwani atawavuruga halafu mwisho wa siku mnabaki bila faida.
Chadema mnao watu wenu mliowatengeneza wenyewe wazuri sana. Watumieni na kuwaamini hao. Achaneni na hawa mamluki waliotimwa kuuharibu upinzani.
Wilboard Slaa ni Sukuma gang.Huyu ni mwanasiasa mwenye tabia ya kubadilika kama Kinyonga abadilivyo rangi yake. Watu wa upinzani, hasa Chadema wawe naye makini sana. Wasimkubali tu ghafla na kumpa nafasi kwani atawavuruga halafu mwisho wa siku mnabaki bila faida.
Chadema mnao watu wenu mliowatengeneza wenyewe wazuri sana. Watumieni na kuwaamini hao. Achaneni na hawa mamluki waliotimwa kuuharibu upinzani.
Slaa aliyegeuka akawa chawa wa Mwendakuzimu? Pale ulikuwa ukitafutwa ushindi kwa mbinu ambazo wao waliona ndizo zitawapa ushindi jamaa kilichomkimbiza ni ile kutokuwa flag bearer, hata kama ingekuwa ameona 'wenzake' wamekengeuka kitendo cha kujiunga na mtesi ambaye aliua, alijeruhi na alipoteza baadhi ya 'wenzake' hiyo si tu ni kuwa kinyonga bali ni kuwa msaliti na kuwa muuaji kwa kuwa ameungana na wauaji.Hivi ni mwanasiasa gani ambaye habadiliki.
Lema alisema hata Mungu atafurahia kama lowasa akipigwa mawe.
Chadema nzima walisema lowassa fisadi lakini mwisho wakabadilika kama kinyonga na ndani ya siku moja akapewa kugombea uraisi via chadema.
Slaa akajiondoa kwa sababu hiyo.
Sasa kati ya hawa wawili anayebadilika ni nani?
Na yule aliyehamia chama ambacho kwa miaka mingi alikituhumu kwa maovu mengi. Na wakati anahama alisema kuwa hajawahi kurudisha kadi ya CCM. Na huyo huyo ambae wakati akiwa Balozi alitumika sana kupinga madai ya mikutano ya hadhara akisema kuwa huko aliko baada ya uchaguzi hamna mambo ya siasa.Hivi mbowe na dr silaa nani ndumilakuwili?
Je yule aliyezunguka Tanzania nzima kwa miaka nane akisema lowasa ni mwizi na fisadi kisha 2015 akamnadi kwenye majukwaa kama mgombea urais au yule aliyeamua kumkataa lowasa mwanzo hadi mwisbo bila kubadili maneni wala msimamo?
View attachment 2562809
Katika siasa hakuna rafiki ama adui wa kudumu, bali yapo maslahi ya kudumu. Kama maslahi yake na ya CDM yanarandana kwa wakati huu, basi nafikiri ni wakati muafaka kwake kurudi kundini na akagombee nafasi ya ubunge ili aweze kukitumikia vizuri chama chake.Huyu ni mwanasiasa mwenye tabia ya kubadilika kama Kinyonga abadilivyo rangi yake. Watu wa upinzani, hasa Chadema wawe naye makini sana. Wasimkubali tu ghafla na kumpa nafasi kwani atawavuruga halafu mwisho wa siku mnabaki bila faida.
Chadema mnao watu wenu mliowatengeneza wenyewe wazuri sana. Watumieni na kuwaamini hao. Achaneni na hawa mamluki waliotimwa kuuharibu upinzani.
Hivi lini mtajifunza kuwaachia wanasiasa na siasa zao? Kama iliwezekana kwa Lowassa inashindikana vp kwa huyo Dr Slaa? Hivi kuna jambo kubwa kama lile?Naunga mkono hoja yako,huyu Mzee siyo wa kumuamini kabisa,kama akileta wazo zuri lichukuliwe na kufanyiwa kazi ila yeye kumkaribisha chumbani big no !!!
Sent from my Nokia 5.1 Plus using JamiiForums mobile app
Umeelewa nilichoandika au unanishobokea tu ?Hivi lini mtajifunza kuwaachia wanasiasa na siasa zao? Kama iliwezekana kwa Lowassa inashindikana vp kwa huyo Dr Slaa? Hivi kuna jambo kubwa kama lile?
Wambie hao jamaa wanajiona wako smart sana kumbe ni madunduka tu hamna kitu CCM imechoka ila kwa Sasa hakuna chama tena maana Hangaya katumia soft weapon kumalizina na DJ MbooweUnavyosema Slaa ni kinyonga ni kama vile Chadema haina hiyo tabia inamaana umesahau si hawa hawa Chadema walisema Lowassa ni fisadi lakini Cha ajabu wakamteua kuwa mgombea wao wa Uraisi je mtoa nada Huu utauwitaje?
mbinguni
Slaa alishindwa kuwasaidia na dikteta 2020 matokeo yake akapora uchaguz tukamlaani akafa kwa laana sasa yuko jehanamu analia mayu noyaga.Hivi mbowe na dr silaa nani ndumilakuwili?
Je yule aliyezunguka Tanzania nzima kwa miaka nane akisema lowasa ni mwizi na fisadi kisha 2015 akamnadi kwenye majukwaa kama mgombea urais au yule aliyeamua kumkataa lowasa mwanzo hadi mwisbo bila kubadili maneni wala msimamo?
View attachment 2562809
sukuma gang na nguruwe wa uvccm buku saba mwisho wake ni 2025 msipotafta kazi mtakufa njaa.Wambie hao jamaa wanajiona wako smart sana kumbe ni madunduka tu hamna kitu CCM imechoka ila kwa Sasa hakuna chama tena maana Hangaya katumia soft weapon kumalizina na DJ Mboowe
mchukuen slaa awasaidie lumumba lasivyo mamayenu hata robo ya kura za mgombe wa chadema hamtapataHivi lini mtajifunza kuwaachia wanasiasa na siasa zao? Kama iliwezekana kwa Lowassa inashindikana vp kwa huyo Dr Slaa? Hivi kuna jambo kubwa kama lile?
Sukuma gang na nguruwe wa uvccm wanapaswa watafute kazi za kufanya otherwise watakufa njaa.Chadema jifunzeni kujenga hoja bila lugha za matusi,Mbona mtaeleweka tu,ila ukionekana unatukana kila coment watu watakuupuza...Mwisho wa siku utajikatia tamaa mana hakuna anayekujibu.
Kwan kakosea nn mzee wa watu kutoa maoni yake imekuwa kosa, hebu punguza ujinga hatuwezi kujenga nchi kwa ujinga huuHuyu ni mwanasiasa mwenye tabia ya kubadilika kama Kinyonga abadilivyo rangi yake. Watu wa upinzani, hasa Chadema wawe naye makini sana. Wasimkubali tu ghafla na kumpa nafasi kwani atawavuruga halafu mwisho wa siku mnabaki bila faida.
Chadema mnao watu wenu mliowatengeneza wenyewe wazuri sana. Watumieni na kuwaamini hao. Achaneni na hawa mamluki waliotimwa kuuharibu upinzani.