Dkt. Wilbroad Slaa asema zuio la maandamano sakata la bandari ni kinyume cha sheria

Huyu mzee anatakiwa aanze kuandamana yeye
 
Huyo anayeuza hiyo bandari naye ajitokeze akae mbele ili kuwazuia waandamanaji, asitumie vyombo vya dola kuzuia waandamanaji. Hayo ni maandamano ya amani kuzuia mali za watanganyika kuuzwa na Mzanzibari.
Heshimu mamlaka ya Raisi kijana ajitokeze yeye ndo anaendamana. Au unavimba kichwa na uhuru mnao pewa usiongee kwenye keyboard ikifika mda na saa ww nenda kayazungumze hayo unayonena.
 
Dr. Slaa ndio kiboko ya mafisadi CCM wanamuogopa sana maana hawawezi kushindana naye kwa hoja
 

..Ni vizuri tukatumia jina WATANGANYIKA.

..Wazanzibari wamegoma kuitwa Tanzania Visiwano.

..Wanaukubali Utanzania wakati wa kufisadi mali za Watanganyika, au kung'ang'ania madaraka.
 
Heshimu mamlaka ya Raisi kijana ajitokeze yeye ndo anaendamana. Au unavimba kichwa na uhuru mnao pewa usiongee kwenye keyboard ikifika mda na saa ww nenda kayazungumze hayo unayonena.
Mamlaka ya rais kwa hizi chaguzi za kishenzi? Kwahiyo hiyo mamlaka ni ili auze mali ya nchi bila ridhaa ya wananchi? Nyie mnaopewa mamlaka hadi mnakuwa na viburi vya madaraka, ndio maana mnaishia kuuza raslimali za nchi mkiamini mna vyombo vya dola vya kulinda wizi wenu.
 
Kwani siumepitishwa na wabunge mliowachagua wenyewe sasa mwana mimi nikushauri jambo kipindi cha jiwe ukiongea haya nishida unajitafutia ila sasa hivi Uhuru upo kwa kila Raia kutoa maoni yake.

Unaonaje ukaunga tera ukapata link na waandishi ukazungumza hayo yaliyopo kwenye nafsi yako wausika wakusikie. Kila la heri mkuu
 
Katiba imebadilika ? Maana kuna kipindi maandamano yalisitishwa kwa kipindi kisicho na ukomo na hakuwahi kuongea🐒

 

Hao wabunge nani aliwachagua, kwani 2020 kulikuwa na uchaguzi au maonyesho ya ujinga wa mtu mweusi kwenye box la kura? Hicho kipindi cha jiwe tuliongea sana na ndio maana akaishia kupora uchaguzi maana hakuwa na uhakika wa ushindi kihivyo.

Yaliyomo nafsini kwangu nayaongea kila siku huku jukwaani, na huko kwenye maandamano ujumbe utafikishwa vizuri zaidi. Au unaumia watu wakiandamana boss?
 
Sasa kwann niumie nyie kuandamana mkuu kila mtu amepewa uhuru wa kufanya kila atakacho ili mradi usivunje misingi ya kisheria ya nchi.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…