Dkt. Wilbroad Slaa: Viongozi wakubwa serikalini na CCM wapatao 38 wamenipigia kuniunga mkono katika kupinga uuzwaji wa bandari za Tanganyika

Dkt. Wilbroad Slaa: Viongozi wakubwa serikalini na CCM wapatao 38 wamenipigia kuniunga mkono katika kupinga uuzwaji wa bandari za Tanganyika

Retired

JF-Expert Member
Joined
Jul 22, 2016
Posts
44,629
Reaction score
83,056
Ameyasema hayo katika Club House.

Amesema, wakuu katika serikali na wakuu katika CCM wamesema katika hili hakuna cha itikadi za vyama, dini, ardhi hii haina vyama bali ni ya Watanganyika.

Wamemuhimiza asirudi nyuma katika hili.

Nikiweka clip (link) Mods watafuta thread. Let me try

Naamini kabisa, licha ya Samia kutoa majibu ya sharau kwa watanganyika kuhusu ule mkataba kwamba ameziba masikio, lakini ndani ya nafsi yake, atakuwa anatetemeka sana, hana amani.

Lile jibu lake kwetu lilikuwa kama mbinu ya self defence kisaikolojia, lakini anajua fika, amezungukwa na wasiomuamini wala kumuunga mkono naye anajua hilo.

Ametusaliti watanganyika.
 
Mama ajiandae, labda awe strong kutumia madaraka yake makubwa kuzima uasi unaoweza kumkuta ndani ya chama chake. Hapa kategwa nae kaingia kingi.

Pia, CCM wanaweza kumgeuka baada ya kuona hii issue inaweza kuKigharimu vibaya chama chao, hivyo lazima wajitenge nae.
 
Ameyasema hayo katika Club House.
Amesema, wakuu katika serikali na wakuu katika CCM wamesema katika hili hakuna cha itikadi za vyama, dini, ardhi hii haina vyama bali ni ya Watanganyika.
Wamemuhimiza asirudi nyuma katika hili.

Nikiweka clip (link) Mods watafuta thread. Let me try

Awataje aone kama hawajamkana.
 
Sasa kupongezwa na wanafiki ambao hawawezi simama nawe ktk wakati mgumu yafaa nn?
hapana, siyo wanafiki , watapoteza kazi zao na ndizo zinawapa ugali wa watoto. Ni wachache kama akina Lisu and team waliokataa kuhongwa vyeo na magufuli ili wa defect chadema wakakataa
 
Ameyasema hayo katika Club House.
Amesema, wakuu katika serikali na wakuu katika CCM wamesema katika hili hakuna cha itikadi za vyama, dini, ardhi hii haina vyama bali ni ya Watanganyika.
Wamemuhimiza asirudi nyuma katika hili.

Nikiweka clip (link) Mods watafuta thread. Let me try

Safi sana mtanganyika Dr. Slaa...ila msipange mipango yenu kupitia simu hawachelewi kuwadukua
 
hapana, siyo wanafiki , watapoteza kazi zao na ndizo zinawapa ugali wa watoto. Ni wachache kama akina Lisu and team waliokataa kuhongwa vyeo na magufuli ili wa defect chadema wakakataa
Hawafai kwenye safari ya Ukombozi watu wa aina hiyo.

Ugali wao unatokana na JASHO lao, Si kuitetea UOVU.

Miiko ya watumishi inasema.

Nitasema KWELI Daima, RUSHWA kwangu MWIKO 🙏🙏🙏
 
Ameyasema hayo katika Club House.
Amesema, wakuu katika serikali na wakuu katika CCM wamesema katika hili hakuna cha itikadi za vyama, dini, ardhi hii haina vyama bali ni ya Watanganyika.
Wamemuhimiza asirudi nyuma katika hili.

Nikiweka clip (link) Mods watafuta thread. Let me try

Kwanza this is too good to be true!, and if it's true, then it's not good at all!, and in fact, k, it's very dangerous!, huyu padri anataka kuwaponza tuu watu wa sehemu bure!, kukesha bure usiku na mchana kwenye tracking and tapping simu Padri Silaha, kuwatafuta hao
Viongozi 38, wa serikali wasiojua how the government works, wasio jua kuwa simu zao ziko tapped, watampigia simu Padri Slaa kumpongeza kwa kuipinga serikali yao?..

Hata kama ni kweli, Slaa anapaswa ajifunze kunyamaza!, sio lazima kusema kila kitu unachosikia! Swali la Morality: Je, ni lazima kuusema kila ukweli unaousikia au tutangulize mbele maslahi ya Taifa?

P
 
Back
Top Bottom