Awataje aone kama hawajamkana.Ameyasema hayo katika Club House.
Amesema, wakuu katika serikali na wakuu katika CCM wamesema katika hili hakuna cha itikadi za vyama, dini, ardhi hii haina vyama bali ni ya Watanganyika.
Wamemuhimiza asirudi nyuma katika hili.
Nikiweka clip (link) Mods watafuta thread. Let me try
Hawezi kuwataja. Slaa hawezi kudanganya mambo madogo kama hayoAwataje aone kama hawajamkana.
Sawasawanice
That is possible! Ni hatari sanaAtasababisha watrace simu yake kujua kaongea na kina nani
Sasa kupongezwa na wanafiki ambao hawawezi simama nawe waziwazi ktk wakati mgumu yafaa nn?Hawezi kuwataja. Slaa hawezi kudanganya mambo madogo kama hayo
Nawe unatetemeka kama Samia, hivyo viswali vya kitoto muulize dadako Samia.Na Mbowe alipigiwa simu na usalama wa Taifa sio?
Wakubwa serikalini ndo kina nani?
Au wakuu WA wilaya 38 waliotumbuliwa??
hapana, siyo wanafiki , watapoteza kazi zao na ndizo zinawapa ugali wa watoto. Ni wachache kama akina Lisu and team waliokataa kuhongwa vyeo na magufuli ili wa defect chadema wakakataaSasa kupongezwa na wanafiki ambao hawawezi simama nawe ktk wakati mgumu yafaa nn?
Safi sana mtanganyika Dr. Slaa...ila msipange mipango yenu kupitia simu hawachelewi kuwadukuaAmeyasema hayo katika Club House.
Amesema, wakuu katika serikali na wakuu katika CCM wamesema katika hili hakuna cha itikadi za vyama, dini, ardhi hii haina vyama bali ni ya Watanganyika.
Wamemuhimiza asirudi nyuma katika hili.
Nikiweka clip (link) Mods watafuta thread. Let me try
Hawafai kwenye safari ya Ukombozi watu wa aina hiyo.hapana, siyo wanafiki , watapoteza kazi zao na ndizo zinawapa ugali wa watoto. Ni wachache kama akina Lisu and team waliokataa kuhongwa vyeo na magufuli ili wa defect chadema wakakataa
Kwanza this is too good to be true!, and if it's true, then it's not good at all!, and in fact, k, it's very dangerous!, huyu padri anataka kuwaponza tuu watu wa sehemu bure!, kukesha bure usiku na mchana kwenye tracking and tapping simu Padri Silaha, kuwatafuta haoAmeyasema hayo katika Club House.