Ikaria
Member
- Jul 17, 2019
- 93
- 238
Naibu wa Rais #Kenya Dr. William Ruto amezua hisia mseto miongoni mwa wananchi baada ya kusema hatamani kudumu kwenye urais kwa kipindi cha miaka 10.
Hayo aliyasema wakati akinadi sera zake za 'Hustler Nation' yaani taifa la wapambanaji katika kaunti ya Nyeri.
"Sina haja na miaka 10 ya urais mimi. Nataka miaka 5 tu. Kazi yangu ikiwafurahisha basi mnaweza kunipa nyongeza ya miaka 5. Lakini nikifeli basi mpo huru kumchagua Rais mwingine."
Ikumbukwe Rais Uhuru Kenyatta amashatangaza hadharani kuwa atamuunga Raila Odinga kurithi kiti chake cha urais itakapofika Uchaguzi mkuu Agosti 9 mwaka huu 2022.
Uswahiba wa Rais Uhuru Kenyatta na Naibu wake William Ruto ulichukua mwelekeo mpya wa uhasama kutokana na wamuzi wa Rais Kenyatta kujenga urafiki na mshindani wake Raila Odinga.