Kenya 2022 Dkt. William Ruto: Sitaki miaka 10 ya Urais, nipeni mitano. Kazi yangu ikiwavutia niongezeni mitano tena

Kenya 2022 Dkt. William Ruto: Sitaki miaka 10 ya Urais, nipeni mitano. Kazi yangu ikiwavutia niongezeni mitano tena

Kenya 2022 General Election
kaangalie deepstate,dynasties na wezi rafiki zao, wanaumwa na Ruto mbona,kilasaa kuliko wauze sera zao wanatataja Tu Ruto ovyoovyo!
Enda uone video za Ruto uone jinsi Ruto anauza sera mpaka amekubalika kila mahali
Mimi ata sio kabila ya Ruto lakini namchukulia kama King walai,na siko pekee tuko wengi,ametufanya kitaalibani![emoji298]
The son of a nobody but amerise up above all the odds(King Hustler)anatetemesha kotekote!
Mpaka amefanya mtoto wa Moi,Gideon Moi,hana say,Baringo[emoji23]
Mount Kenya kama hutasimama na UDA(Hustlers party) utaanguka sakafuni pajichore pua!
[emoji108]Ruto ndiye 5th Prezo[emoji817][emoji91][emoji91]
Tuonane baada ya uchaguzi broo , ila nikuakikishie tu
Ruto hapati kitu
 
Deep state washaamua ni baabaa....
Mkibisha mnajua mziki ni kichapo tuu [emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]
 
Deep state washaamua ni baabaa....
Mkibisha mnajua mziki ni kichapo tuu [emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]
kwani deep state ndio ilimchagua Uhuru akawa prezo!Alipojaribu kukalia kiti akisaidiwa na deepstate zamani alianguka,ndio akaja kutuomba tumpe kura na tumlinde!nkt
 
“Nataka mitano tuuu. Kazi yangu ikiwapendeza, mnaweza kuniongeza mitano tena!”

Haya ni maneno ya mwanasiasa laghai. Hata akina Mu7 na Kagame waliingia na slogans hizohizo. The rest ni historia

Ruto amekuwa deputy Predident kwa 10 years. Aren’t those enough?
 
Kwa wale masiojuwa mount Kenya hapo inamaanisha wakikuyu.
kabisa👌
Mount Kenya-wakikuyu
-Wameru
-waembu
-watharaka
Wanaongeaga kwa umoja,sanasana kikuyuz ndio huwapea direction kwasababu ndio wengi ndani ya MountKenya
 
Achaa tu, things are boiling over. Atakaye shinda Kikuyu vote ndio next president wa 'genya' yetu. Makofi ya kilo kwa muheshimiwa-funga fungua.
RAO ako na mtihani mugumu sana; ila kwa vile ana support ya incumbent president Uhuru kutoka Kikuyu bado ana hope kuwa president
 
Ruto Tosha🔥🔥
Huyu Ruto amekuwa kwenye viunga vya ikulu kwa miaka 10 na ameiba ile mbaya. Mkimpa urais hazina yote ya Kenya atafaigia. Pesa anayogawa gawa atairudishaje kama si kukomba hazina? Wapiga kura wa Kenya kaeni chonjo!
 
Huyu Ruto amekuwa kwenye viunga vya ikulu kwa miaka 10 na ameiba ile mbaya. Mkimpa urais hazina yote ya Kenya atafaigia. Pesa anayogawa gawa atairudishaje kama si kukomba hazina? Wapiga kura wa Kenya kaeni chonjo!
nenda kwa list ya matajiri wa Kenya ndio utajua nani ndio mwizi!!
Ruto is even a Saint!
Nenda ukafanye research Railas Wealth!😱Utastuka!
Deepstate,Dinasty!wote out😬

Ruto Tosha👌🔥🔥
 
Back
Top Bottom