Kenya 2022 Dkt. William Ruto: Sitaki miaka 10 ya Urais, nipeni mitano. Kazi yangu ikiwavutia niongezeni mitano tena

Kenya 2022 General Election
Tuonane baada ya uchaguzi broo , ila nikuakikishie tu
Ruto hapati kitu
 
Deep state washaamua ni baabaa....
Mkibisha mnajua mziki ni kichapo tuu [emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]
 
Deep state washaamua ni baabaa....
Mkibisha mnajua mziki ni kichapo tuu [emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]
kwani deep state ndio ilimchagua Uhuru akawa prezo!Alipojaribu kukalia kiti akisaidiwa na deepstate zamani alianguka,ndio akaja kutuomba tumpe kura na tumlinde!nkt
 
“Nataka mitano tuuu. Kazi yangu ikiwapendeza, mnaweza kuniongeza mitano tena!”

Haya ni maneno ya mwanasiasa laghai. Hata akina Mu7 na Kagame waliingia na slogans hizohizo. The rest ni historia

Ruto amekuwa deputy Predident kwa 10 years. Aren’t those enough?
 
Kwa wale masiojuwa mount Kenya hapo inamaanisha wakikuyu.
kabisa👌
Mount Kenya-wakikuyu
-Wameru
-waembu
-watharaka
Wanaongeaga kwa umoja,sanasana kikuyuz ndio huwapea direction kwasababu ndio wengi ndani ya MountKenya
 
Achaa tu, things are boiling over. Atakaye shinda Kikuyu vote ndio next president wa 'genya' yetu. Makofi ya kilo kwa muheshimiwa-funga fungua.
RAO ako na mtihani mugumu sana; ila kwa vile ana support ya incumbent president Uhuru kutoka Kikuyu bado ana hope kuwa president
 
Ruto Tosha🔥🔥
Huyu Ruto amekuwa kwenye viunga vya ikulu kwa miaka 10 na ameiba ile mbaya. Mkimpa urais hazina yote ya Kenya atafaigia. Pesa anayogawa gawa atairudishaje kama si kukomba hazina? Wapiga kura wa Kenya kaeni chonjo!
 
Huyu Ruto amekuwa kwenye viunga vya ikulu kwa miaka 10 na ameiba ile mbaya. Mkimpa urais hazina yote ya Kenya atafaigia. Pesa anayogawa gawa atairudishaje kama si kukomba hazina? Wapiga kura wa Kenya kaeni chonjo!
nenda kwa list ya matajiri wa Kenya ndio utajua nani ndio mwizi!!
Ruto is even a Saint!
Nenda ukafanye research Railas Wealth!😱Utastuka!
Deepstate,Dinasty!wote out😬

Ruto Tosha👌🔥🔥
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…