myoyambendi
JF-Expert Member
- Sep 13, 2013
- 166,767
- 705,461
Duh...DM tower business Centre Moscow inaungua Muda huu, ni kituo mashuhuri Kwa biashara ni Kama ilivyo kuwa WTC ya Marekani Au ZILE za Abudhabi na Dubai,
Majengo pasha mengine manne yote yameteketea Kwa moto ambao chanzo chake ni hujuma kutoka ndani ya MOSCOW kutokana na vita inayoendelea sasa
Warusi wamechoka
Hata laki hawajafikaIla umefurahia sana Putin kudondosha mamia ya majengo na uharibifu mkubwa wa miundombinu Ukraine bila kusahau maelfu ya vifo vya wananchi wasio na hatia! Dah hizi double standards hizi!
Usinifananishe na ww aliyezaliwa kwa mam yako kupasuka nyumaUwe una hakiki habari kwanza kabla ya kupayuka!
Au kama vile wapalestina wanavyokufa miaka nenda Rudi kule middle east
Fala ni wewe na sio PutinHii sasa imekaa sawasawa! Fvk**c you Putin! &Co hii nayo PROPAGANDA?
Wewe Mmatumbi una faida gani?That fashist hana faida yoyote duniani kwa sasa.
Huyu jamaa sjui huwaga anafkiria kwa kutumia nn[emoji1787][emoji1787][emoji16][emoji16][emoji23], anamtukana Putin wakati mkate wa asubuhi unamshindaFala ni wewe na sio Putin
Kusuport mashogaWewe Mmatumbi una faida gani?
Umesoma ulichokiandika?Shame on you!Usinifananishe na ww aliyezaliwa kwa mam yako kupasuka nyuma