Tsh
JF-Expert Member
- Aug 26, 2021
- 17,022
- 36,936
Katikati hapa ilikuwa ni ngumu kuhakiki anachotakaPutin ameshasema jamaa anakazia tu
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Katikati hapa ilikuwa ni ngumu kuhakiki anachotakaPutin ameshasema jamaa anakazia tu
.maana akachaguliwa huyu.mwamba kuendesha.zoezihilo ndio swali nilikuwa najiuliza, kwamba urusi inashindwa nini kupiga kila mkoa kwa wakati mmoja? kiburi cha ukrain na kusuasua kwa urusi ndio kunafanya hadi leo hii mafuta yanapanda hapa tz. maliza kazi haraka tuanze kujadili mengine.
Itafutwa kabisa, asicheze na Putin, watawafanyia kitendo Cha kinyama au kupiga kabisa Ikuru au kuwawinda Viongozi Kama Nguruwe Pori. Msicheze na yule KGBHaya sasa kumekucha...USA naye kasema ni wakati sasa wa ukraine kupewa makombora ya LONG RANGE ili ijilinde kikamilifu kutokea mbali
Au waseme wowowo kabisaaPiga hao wasiojielewa mpaka muhogo waite muwowo
Hivi Putin hana washauri?Ipo mahali nilisema ,hakuna mjinga atakubali umlipue na mabomu kutoka mabali alafu akuangalie hakuna, inaenda kuwa piga kwangu nami nipige Kwako,
Ukirusha kombora mia mwenzako anakijibu KWa kombora 200, ngoma nzito Sana hii
Anao atawakosaje?, ila KWa vyovyote vile lazima urus onyesha Umwamba hata KWa kulazimisha ,maana anajua yeye ni TAIFA kubwa, na KWa Hili KWa Sasa anachofocus pamoja na mengine ni kulazimisha Linda hiyo status yake , bila kujali nini Wala niniHivi Putin hana washauri?
HahahahaUkraine haiwezi kupiga Moscow hata wanaompa silaha wanamwambia zele Moscow sio target maana wanajua likirushwa hata kombora moja tu kuelekea mji wowote Urusi,
kifuatacho ni US na mashoga wenziwe kupelekewa mvua ya makombora yaliyotunzwa kwaajili yao.
Watishie kujamba wakati wanaharisha 😅😅😅 watanyea kitandaItafutwa kabisa, asicheze na Putin, watawafanyia kitendo Cha kinyama au kupiga kabisa Ikuru au kuwawinda Viongozi Kama Nguruwe Pori. Msicheze na yule KGB
Ni Mtu Hatari, Google unyama uliofanyika Aleppo, Chechnia, Georgia, na kamanda aliyefanya Carpet bombing ndiye amepewa rungu na tiari kafanya unyama J.tatu.
Vita sio vya KUSHABIKIA wenzetu wanaangamia.
Hahaha hapo kwenye mashoga wenzieUkraine haiwezi kupiga Moscow hata wanaompa silaha wanamwambia zele Moscow sio target maana wanajua likirushwa hata kombora moja tu kuelekea mji wowote Urusi,
kifuatacho ni US na mashoga wenziwe kupelekewa mvua ya makombora yaliyotunzwa kwaajili yao.
Muulize mama yako mzaziHivi Putin hana washauri?