Dmitry Medvedev: Mashambulizi ndio kwanza yanaanza

Ndio
hilo ndio swali nilikuwa najiuliza, kwamba urusi inashindwa nini kupiga kila mkoa kwa wakati mmoja? kiburi cha ukrain na kusuasua kwa urusi ndio kunafanya hadi leo hii mafuta yanapanda hapa tz. maliza kazi haraka tuanze kujadili mengine.
.maana akachaguliwa huyu.mwamba kuendesha.zoezi
 

Attachments

  • Screenshot_20221011-165438_Facebook.jpg
    120.7 KB · Views: 10
Haya sasa kumekucha...USA naye kasema ni wakati sasa wa ukraine kupewa makombora ya LONG RANGE ili ijilinde kikamilifu kutokea mbali
Itafutwa kabisa, asicheze na Putin, watawafanyia kitendo Cha kinyama au kupiga kabisa Ikuru au kuwawinda Viongozi Kama Nguruwe Pori. Msicheze na yule KGB
Ni Mtu Hatari, Google unyama uliofanyika Aleppo, Chechnia, Georgia, na kamanda aliyefanya Carpet bombing ndiye amepewa rungu na tiari kafanya unyama J.tatu.
Vita sio vya KUSHABIKIA wenzetu wanaangamia.
 
Ipo mahali nilisema ,hakuna mjinga atakubali umlipue na mabomu kutoka mabali alafu akuangalie hakuna, inaenda kuwa piga kwangu nami nipige Kwako,

Ukirusha kombora mia mwenzako anakijibu KWa kombora 200, ngoma nzito Sana hii
Hivi Putin hana washauri?
 
Hivi Putin hana washauri?
Anao atawakosaje?, ila KWa vyovyote vile lazima urus onyesha Umwamba hata KWa kulazimisha ,maana anajua yeye ni TAIFA kubwa, na KWa Hili KWa Sasa anachofocus pamoja na mengine ni kulazimisha Linda hiyo status yake , bila kujali nini Wala nini
 
Hahahaha
 
Wiki ya warusi hii, kwenye hii Vita kutesa Kwa zamu wiki hii wayukrain , wiki ijayo ya warusi . Sisi yetu macho
 
Watishie kujamba wakati wanaharisha πŸ˜…πŸ˜…πŸ˜… watanyea kitanda
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…