Serikali ya Tanzania ifikapo 2019 itakuwa imenunua DMU trains kwa ajili ya meter gage. Zitatumika kusafirisha abiria katika jiji la Dar es salaam kwani hadi sasa abiria 5 million wanatumia usafiri wa train ndani ya jiji la Dar es salaam kwa mwaka.Hizi ni train za kisasa.
Hayo yamesemwa na Makame Mbarawa.
Hapa kazi tu ! 😀😀.
Mfano wa DMU trains
Alivyo sema Makame Mbarawa. Mwishoni mwahi video
Hayo yamesemwa na Makame Mbarawa.
Hapa kazi tu ! 😀😀.
Mfano wa DMU trains
Alivyo sema Makame Mbarawa. Mwishoni mwahi video