Mkuu wengi wao wanakataa maana hiyo kitu huwa inatokea ghafla bila kutegemea na pengine kukataa majukumu...lakini nilishasema siwezi kuja kuikataa damu yangu kama najuwa ni mimi ndio mwenyewe...zaidi kama nina wasiwasi kama ulivyosema DNA inafanya kazi!!
Hili jambo haliishi kunishangaza... ni vipi madai mengi ya DNA ni ya wababa kukataa watoto na si wababa kudai watoto?
Je ni kukwepa majukumu ama kutowaamini wanawake?
au ni aibu kwa kupata mtoto kwa mzazi mwenza asiyetarajiwa?
ama ni kisasi cha ugomvi wa baba na mama bila kumjali mtoto aliyezaliwa?
inanikumbusha mzee wetu mahita ,kipimo kagoma,mtoto anavyozidi kukuwa masikio ndiyo yanazidi kurandana lakini mzee anakomaaa kukataa kisa kazaa na housegirl au?
mnaoguswa na hili hebu tusemezane ukweli upo wapi
au ndo ile kusema mama ndo ajuaye asili ya mwana baba yake malezi?

Na hili ndilo la msingi,kwa nini umzalishe binti wa mtu na umkatae mtoto yeye ampeleke wapi kiumbe hicho?kama unaona haupo tayari kulea kwa nini usitumia kinga?acheni wanaume kutesa watoto!juulize wazazi wako wangekufanyia hivyo ungekuwa nani sasa hivi!wanaume tuwe na hurumaMajukumu na pia kufikiria wamebambikiwa na aibu (kundi la kina mahita hili).
Wakuu kama tunafikiri hatupo tayari kuwa wazazi bora tujikinge kuliko kuwatesa watoto kwa kupata malezii ya upande mmoja tu.
Hili jambo haliishi kunishangaza... ni vipi madai mengi ya DNA ni ya wababa kukataa watoto na si wababa kudai watoto?
Je ni kukwepa majukumu ama kutowaamini wanawake?
au ni aibu kwa kupata mtoto kwa mzazi mwenza asiyetarajiwa?
ama ni kisasi cha ugomvi wa baba na mama bila kumjali mtoto aliyezaliwa?
inanikumbusha mzee wetu mahita ,kipimo kagoma,mtoto anavyozidi kukuwa masikio ndiyo yanazidi kurandana lakini mzee anakomaaa kukataa kisa kazaa na housegirl au?
mnaoguswa na hili hebu tusemezane ukweli upo wapi
au ndo ile kusema mama ndo ajuaye asili ya mwana baba yake malezi?
Tatizo ni watu kuthamini sana kuwa biological father kuliko mlezi, mimi naona mlezi yule anayegharamikia malezi ya mtoto ni bora na anafaa na huyo ndio ana sifa ya kuitwa baba.