cotyledon
JF-Expert Member
- Aug 25, 2018
- 2,260
- 1,629
Kwanini kufunika kikombeHaya mambo hayakuanza Leo, ndio ukitaka kuchunguza sana unaweza kukuta wewe si mtoto wa Baba yako, au babako sio mtoto wa babake[emoji1787][emoji1787][emoji1787]
Ndo wahenga wanasema funika kombe mwanaharamu apite, tatizo siku hizi hatufuniki, na hata ukifunika mwanaharamu analibutua[emoji1787][emoji1787][emoji1787]
Sent from my TECNO KE5 using JamiiForums mobile app