Haya mambo hayakuanza Leo, ndio ukitaka kuchunguza sana unaweza kukuta wewe si mtoto wa Baba yako, au babako sio mtoto wa babake[emoji1787][emoji1787][emoji1787]
Ndo wahenga wanasema funika kombe mwanaharamu apite, tatizo siku hizi hatufuniki, na hata ukifunika mwanaharamu analibutua[emoji1787][emoji1787][emoji1787]