Do not give a permanent solution to a temporary problem. Kwa dunia ya sasa nakushauri usioe

Do not give a permanent solution to a temporary problem. Kwa dunia ya sasa nakushauri usioe

Teslarati

JF-Expert Member
Joined
Nov 21, 2019
Posts
2,621
Reaction score
10,466
Okay, let's make this as short as possible.

Kwa nn unaoa? I mean, what problems do you think marriage will help you solve? List them down.

Are those problems permanent? Je hayo matatizo unayotegemea kuyatatua ukiwa na ndoa ni ya kudumu?

Only a desperate idiot gives a permanent solution to a temporary problem. Ni punguani au zwazwa pekee ndio anaelipa tatizo la muda mfupi solution ya kudumu.

Pussy? Kids? Cooked food? Vyote hivo unavipata kiurahisi kabisa kwenye dunia ya sikuhizi bila kutake risk ya kujifunga na litoto la mtu ambalo unaweza kuta ni professional slut.

Anyway, I promised to make this short. Kaa kijanja. Wenye ndoa wana watoto nje wewe unaenda kuoa ili upate watoto. Do not be an idiot, tafuta hela, watoto wako wakifikia umri sahihi unapewa waje waishi kifahari na wewe, usitafutie mwanamke na mpenzi wa mke wako hela.

Wako mtiifu,
Boyfriend wa mke wako na baba mzazi wa watoto unaowalea,
Teslarati.
 
Kuna watu watakupinga kutokana na ukweli halisi uliotupasukia ila watakuwa na hoja dhaifu

E bhana eee umeongea kila kitu na umemaliza. No one has died bcz of being single but many people have died bcz of being with the wrong partner. Chukua hiyo mdau
 
Kutafuta pesa bila kua sehemu utulivu sidhani kama utafanya vizuri nachoamini mm tunapokua na mtu sahihi hata utafutaji unatafuta ukiwa ktk mood Safi lkn ukiwa na stress lazima uwe wrong.
Utulivu is what you define.

Kama kwako pussy ndio utulivu basi ww ni mtumwa, specifically mtumwa wa pussy.

Lkn kama kwako, a quality time with some liked minded people or even just you alone basi wewe ni free, liberated man.

Make your choice fella, be free or be enslaved
 
Utazaa watoto kama umbwa?huyu na mama yake yule na mama yake utaweza vipi kuwa-manage kimalezi kama hauishi na mama zao?

Kutoa manii na kulea mtoto ktk njia sahihi itakayomsaidia baadae ni vitu viwili tofauti,maisha siyo simple kiasi hiko na ni rika tu linakusumbua kuna wakati utafika utajiona mjinga kuwaza hivi,unapoona vitu ktk jicho jepesi kama hivi elewa kuna siku mtoto utakaemzaa atabikiriwa na bwana wa mwanamke uliyemzalisha kwa sababu alikuwa karibu yake kuliko wewe mwenye mbegu yako.
 
Aaah mkuu Ina maana unataka kusema kwamba ww hupendwi? Sema labda hujapata mtu alie sahihi tu lkn ungepata usingethubutu kusema hivyo vile tu wanawake wenye baadhi wanazingua hasa kwa karne hizi
Mkuu mimi nagombaniwa na wanawake.

Lkn mimi mjanja. Sina ushamba wa wanawake.

Siku si nyingi tu kuna mwanamke nilikua nakula kula na nikitoka basi natoka nae na ofisi zetu zipo ghorofa moja. Sasa kumbe kuna rafiki yake akaanza kumjaza maneno kwambi mimi ni playboy mara hv mara vile. Nikaona hadi chats zao ila sikuongea kitu sababu nawajua wanawake.

Mwanamke kaanza kuleta za kuleta nikapiga chini. Nashangaa mwenzake anaanza kujilengesha na ninapoongea usiku huu yupo hapa katoka kuchezea bao 3 swafi kabisa.

Sijasema usiwe na madem, nasema usioe
 
😁😁
 
Back
Top Bottom