E and E
JF-Expert Member
- Jun 15, 2017
- 1,126
- 985
Kwamba mshikaji aache mishe zake aje kupiteza muda na wewe huna hali, hawa hawa washikaji tunaowafahamu ambao ukipoteza kazi tu hakujui wala hakupigii simu au unawasemea washikqji wa nchi gani.Pangilia maisha yako. Kama huna mtu baki (sio lazima awe mwanandoa wako) ambae ukimpigia simu au akisikia unaumwa basi ataacha kila kitu na kukusaidia basi una shida kubwa sana mahala. Nina washikaji ambao hata wasiponiona bar tu wiki mbili straight wataulizia kama niko mzima wa afya. That's your problem, do not generalize it.
No need for sorry, ukweli lazima uwe attacked siku zote kwa points ambazo haziweze kuwa justified, utamuitaje mtu shoga kisa umeona anachoandika tu na kwenye maandishi hajasema yy ni shoga. Again, that's your problem, you have to deal with it yourself.
Sijasema hawapo, na hakuna sehemi nimesema msiwe na mahusiano na wanawake, bali usiingie kwenye ndoa kisa kutatua matatizo ambayo ni temporary tu, If u have a real permanent problem, then go ahead
Tatizo mnaoa malaya, tafuta mtu mwenye sifa za mke uoe.