Do not give a permanent solution to a temporary problem. Kwa dunia ya sasa nakushauri usioe

Kuna mtu aliwekaga humu kitabu kinaitwa THE MANIPULATED MAN
AISEE wanaume tunakazk kubwa sana
Dunia nzima ipo against us
Na wanawake waanambinu zao nyingi, vuna upeleke, wabinafsi,hawaridhiki,mtoto kama chambo,uchi kama kisu.
Wanaume wanaangaika kubuni vitu biashara na mambo mengi,ila pus*y fimbo ya mwanamke na mtoto.
Ndoa ni kujifunga mazima chini ya mwanamke,

Labda uwe na uhakika sana na unaemuoa sanaaa sanaaaa tena sanaa
 
Okay, let's make this as short as possible.

Kwa nn unaoa? I mean, what problems do you think marriage will help you solve? List them down.

Are those problems permanent? Je hayo matatizo unayotegemea kuyatatua ukiwa na ndoa ni ya kudumu?

Only a desperate idiot gives a permanent solution to a temporary problem. Ni punguani au zwazwa pekee ndio anaelipa tatizo la muda mfupi solution ya kudumu.

Pussy? Kids? Cooked food? Vyote hivo unavipata kiurahisi kabisa kwenye dunia ya sikuhizi bila kutake risk ya kujifunga na litoto la mtu ambalo unaweza kuta ni professional slut.

Anyway, I promised to make this short. Kaa kijanja. Wenye ndoa wana watoto nje wewe unaenda kuoa ili upate watoto. Do not be an idiot, tafuta hela, watoto wako wakifikia umri sahihi unapewa waje waishi kifahari na wewe, usitafutie mwanamke na mpenzi wa mke wako hela.

Wako mtiifu,
Boyfriend wa mke wako na baba mzazi wa watoto unaowalea,
Teslarati.
Mmh sidhani kama mtoa maada n mwanaume aliyelelewa na wazazi wawili

Na sidhan kama n mwanaume aliyekamilika, nadhan kuna shida mahali

Mwisho wa kunukuu
 
Jana nmetoka kuvimbiwa pilau la jamaa anatoa mahari na wanavishana pete na mchumba ake,,kalaga baho na uyo ashura kishundu alokupga heartbreak moja heavy,hasira zinakutuma kushauri wenzio wasioe.
 
Okay, let's make this as short as possible.

Kwa nn unaoa? I mean, what problems do you think marriage will help you solve? List them down.

Are those problems permanent? Je hayo matatizo unayotegemea kuyatatua ukiwa na ndoa ni ya kudumu?

Only a desperate idiot gives a permanent solution to a temporary problem. Ni punguani au zwazwa pekee ndio anaelipa tatizo la muda mfupi solution ya kudumu.

Pussy? Kids? Cooked food? Vyote hivo unavipata kiurahisi kabisa kwenye dunia ya sikuhizi bila kutake risk ya kujifunga na litoto la mtu ambalo unaweza kuta ni professional slut.

Anyway, I promised to make this short. Kaa kijanja. Wenye ndoa wana watoto nje wewe unaenda kuoa ili upate watoto. Do not be an idiot, tafuta hela, watoto wako wakifikia umri sahihi unapewa waje waishi kifahari na wewe, usitafutie mwanamke na mpenzi wa mke wako hela.

Wako mtiifu,
Boyfriend wa mke wako na baba mzazi wa watoto unaowalea,
Teslarati.
Oyaa upo sawa??? Au umepigwa tukio la kalne???
 
Kutokujua sio shida shida ni kutokujua kama hujui

Kuoa in any way ni kama kipimo cha mtu kuwa stable kiakili bila kujali negative issues ambazo hutokea kwenye ndoa nyingi siku hizi

Mtu akiwa na 50 years na hajaoa bad enough ana watoto nje wengi ni mtu ambaye by natural social laws ataonekana hayuko sawa kiakili na hawezi kuaminika kwenye jamii na ndio maana hata nyadhifa fulani huwezi kupewa ukiwa singo kwenye taasisi ama serikalini boss

Mwanaume unapozaliwa moja ya mtihani ambao unakutana nao ni wa kuweza kutengeneza familia na kuimanage kwa ajili ya kutengeza kizazi nyuma yako ambacho kitakuwa stable ila ukiwa na perception kama yako hii tayr ushafeli mtihani kabla hujaufanya na wengine kwa kuogopa ndoa wameishia kwenye kutamani hata kuolewa ili wapate mteremko na wao mwanaume lazma ugangamale wanaume waoga mwisho wa siku wanaanza tabia za hovyo
Very fact
huyu jamaa sijui kawaza nn mpaka kutiririsha uzi huu hahaa
 
Okay, let's make this as short as possible.

Kwa nn unaoa? I mean, what problems do you think marriage will help you solve? List them down.

Are those problems permanent? Je hayo matatizo unayotegemea kuyatatua ukiwa na ndoa ni ya kudumu?

Only a desperate idiot gives a permanent solution to a temporary problem. Ni punguani au zwazwa pekee ndio anaelipa tatizo la muda mfupi solution ya kudumu.

Pussy? Kids? Cooked food? Vyote hivo unavipata kiurahisi kabisa kwenye dunia ya sikuhizi bila kutake risk ya kujifunga na litoto la mtu ambalo unaweza kuta ni professional slut.

Anyway, I promised to make this short. Kaa kijanja. Wenye ndoa wana watoto nje wewe unaenda kuoa ili upate watoto. Do not be an idiot, tafuta hela, watoto wako wakifikia umri sahihi unapewa waje waishi kifahari na wewe, usitafutie mwanamke na mpenzi wa mke wako hela.

Wako mtiifu,
Boyfriend wa mke wako na baba mzazi wa watoto unaowalea,
Teslarati.
Actually you're trying to give a temporary solution to a permanent problem, marriage is not about the bulshit that you said, it's about eternity and it's mysteries.
 
Okay, let's make this as short as possible.

Kwa nn unaoa? I mean, what problems do you think marriage will help you solve? List them down.

Are those problems permanent? Je hayo matatizo unayotegemea kuyatatua ukiwa na ndoa ni ya kudumu?

Only a desperate idiot gives a permanent solution to a temporary problem. Ni punguani au zwazwa pekee ndio anaelipa tatizo la muda mfupi solution ya kudumu.

Pussy? Kids? Cooked food? Vyote hivo unavipata kiurahisi kabisa kwenye dunia ya sikuhizi bila kutake risk ya kujifunga na litoto la mtu ambalo unaweza kuta ni professional slut.

Anyway, I promised to make this short. Kaa kijanja. Wenye ndoa wana watoto nje wewe unaenda kuoa ili upate watoto. Do not be an idiot, tafuta hela, watoto wako wakifikia umri sahihi unapewa waje waishi kifahari na wewe, usitafutie mwanamke na mpenzi wa mke wako hela.

Wako mtiifu,
Boyfriend wa mke wako na baba mzazi wa watoto unaowalea,
Teslarati.

Ukiondoa mtazamo na u perfect na uitaji wa kiimani, na kuheshimu utaratibu wa Ki Mungu; Kuoa is not a good thing to do!

Ndoa ni Jambo gumu sana!
 
Back
Top Bottom