Eti mnaishi na litoto la mtu kabisa mmefunga pingu za maisha mnadanganyana, mnapikiana michuzi na kulala pamoja.
Hauwezi hata kuwa huru, unakuwa mtumwa, unaingia kwenye kifungo. Hata ukitaka kujamba lazima uombe ruhusa: PLEASE MADAM, MAY I JAMBA? NOOO THANK YOU, DONT JAMBA.
Ukienda kazini analeta dume lingine linamdinya, ukifa anarithi mali zako na basha ake.
Wakati huo wewe upo kuzimu unaungua MOTO WA MILELE huku mkeo amechumishwa mboga kwenye kitanda chako.
Cc:
Mbaga Jr Extrovert dronedrake Poor Brain The Icebreaker Kapeace Half american