Albinoomweusi
JF-Expert Member
- Oct 28, 2016
- 3,433
- 8,585
Bonge moja la mechi, definition halisi ya ligi ya mabingwa, ilikua njoo nije
Ukiachana na zile hadithi nzuri za Sungura na Fisi, basi tunaendelea kutengeneza hadithi nyingine tamu kwa vizazi vijavyo, ni hadithi ya SIMBA hii
Kocha Ibenge alikuja na picha ya Simba ya 4-2-3-1 ila akapewa HYBRID 4-4-2
Chama na Mugalu muda mwingi walicheza kama pair, Chama akitimiza lengo la mfumo Chotara "Hybrid" timu ikiwa inatoka nyuma anashuka kuongeza idadi ya viungo na kutengeneza 4-2-3-1 timu ikisogea anaenda karibu na Mugalu na kurudisha 4-4-2, masterclass kutoka kwa Didier Gomes, mechi aliicheza kwenye ubongo, uwanjani akamalizia kuangalia
Luis Jose Miquisson, ni kama alikuwa na hasira, Simba alipoteza nafasi nyingi za wazi, ila yeye akapata nafasi iliyo 50/50 akafunga kwa shuti la kama msg kwa wenzake "Oya tunazingua, hivi ndivyo tunatakiwa fanya" what a player, anajituma sana
Chris Mugalu, leo kila kitu kimeenda kushoto, ni kama kaangusha taulo mbele ya mama mkwe, kila alichofanya kilikataa, haikuwa siku yake na confidence ikapotea, Poor Perfomance, sio wakumbeza ni wakumpa moyo
Nadhani mtamuelewa Manara aliposema Chama hata akiwa kwenye ubora wake tu 75% basi Simba lazima ishinde, magoli aliyofunga sio marahisi, ni utulivu mkubwa, mwamba ana relax sana mpaka sio poa
Joash Onyango na Pascal Wawa, what a pair, hawa sio tu wacheze pamoja, inabidi wale pamoja pia, kwenye Bus wakae pamoja
Air Manula, sina mengi, ila mikono yako inatuma salamu, mikono yako inaziba midomo na ngebe
RB Maestro Bwalya, ni raha kumuangalia kuliko Beyonce mwenye kanga moja
Benard Morisson, nilihisi kabisa hii ni mechi yake, walipoweka mitego ulitegua, walipo jisahau uliwaadhibu, huyu jamaa anajua mpira
As Vita walikuja hawana cha kupoteza ila pia ukija kucheza hakikisha huwapi Simba uhuru wa kuona mashimo
Midfield ya As Vita walijitoa kwa kila hali, super sana, yule Zemanga Soze mtu sana, nalisave jina lake, hata muda anatoka mashabiki wa Simba walimpigia makofi
Man of the Match kwa upande wangu ni Clatous Chama, simply amaizing