Hizi lugha zinatuchanganya sana mpaka maaa halisi hazieleweki.
Kiuhalisia, Uislam ni siyo "religion per say.", ni "religion" kwa sababu tu neno hilo ndiyo la karibu sana kwa neno "dini". Uislam ni "way of life" ambayo kiuhalisia ilikuwa inatakiwa neno Uislam litumike kila unapotajwa Uislam na siyo neno "religion".
Qur'an 3:19. Bila ya shaka Dini mbele ya Mwenyezi Mungu ni Uislamu. Na walio pewa Kitabu hawakukhitalifiana ila baada ya kuwajia ujuzi, kwa sababu ya uhasidi ulio kuwa baina yao. Na anaye zikataa Ishara za Mwenyezi Mungu basi hakika Mwenyezi Mungu ni Mwepesi wa kuhisabu.
19
Unaona hapo, ni maneno mawili tofauti ambayo yote yana maana zake tofauti.