mshamba_hachekwi
JF-Expert Member
- Mar 3, 2023
- 20,704
- 66,337
i would argue that morality can also be derived from empathy, and we don't need religion to train empathyHow then can you govern the thoughts of a human mind?
How can you control a person's true intentions?
How can you tame a man's heart?
Certainly logic and laws can not do that.
It is for that reason we need religion for morality to work.
this is why religion is so wrong, it causes a divide, there are over 10000 religions, and everyone thinks their religion is the right path....Islam is one that stands out of the bunch.
parents, relatives and a society that is morally guided, through a balanced system, maybe a religion, but one that doesn't impose false ideas of gods, hell and heaven.... just good conductTell me then, what is it exactly would you need to train empathy?
I'd like to not call it a division, rather a variation.this is why religion is so wrong, it causes a divide, there are over 10000 religions, and everyone thinks their religion is the right path....
dini! Dini gani? Unaweza ukajikuta unaamini dini ya kishenzi kama ileMwanadamu anahitaji dini ili aishi vizur Duniani
You just said maybe a religion, it's not maybe a religion, it's absolutely a religion. A religion is necessary.parents, relatives and a society that is morally guided, through a balanced system, maybe a religion, but one that doesn't impose false ideas of gods, hell and heaven.... just good conduct
Hizi lugha zinatuchanganya sana mpaka maaa halisi hazieleweki.We need nothing
Ova.
Hapo dini mbele ya mwenyezi Mungu ni Uislam.Hizi lugha zinatuchanganya sana mpaka maaa halisi hazieleweki.
Kiuhalisia, Uislam ni siyo "religion per say.", ni "religion" kwa sababu tu neno hilo ndiyo la karibu sana kwa neno "dini". Uislam ni "way of life" ambayo kiuhalisia ilikuwa inatakiwa neno Uislam litumike kila unapotajwa Uislam na siyo neno "religion".
Qur'an 3:19. Bila ya shaka Dini mbele ya Mwenyezi Mungu ni Uislamu. Na walio pewa Kitabu hawakukhitalifiana ila baada ya kuwajia ujuzi, kwa sababu ya uhasidi ulio kuwa baina yao. Na anaye zikataa Ishara za Mwenyezi Mungu basi hakika Mwenyezi Mungu ni Mwepesi wa kuhisabu. 19
Unaona hapo, ni maneno mawili tofauti ambayo yote yana maana zake tofauti.
ina maana huioni? Ukiona dini fulani inapenda fujo, shari, ghasia na waumini wake wana jazba mpaka wanaua binadamu wenzao kwa imani ya dini ujue hiyo dini ni ya kishenzi na kijuhaHakuna dini ya kishenzi duniani.
Neutrally speaking inaonekana una bifu sana na ushoga.Dini ipo moja tu duniani, milele haijawahi kubadilika wala kubadilishwa hata sentesi moja katika kitabu chake na wala haijawahi kubadilishwa misimamo yake. Anaetaka basi ajiunge ili apate nusura, na asietaka basi.
Hizo nyingine zinaotumia kivuli cha kujiita Dini ila sio dini, bali ni "TAASISI" ambazo hutumika kueneza propaganda za kuhalalisha wanayoyataka kwa muda uliopo ili kuendelea kuwa na nguvu sambamba na kuwa na uchumi imara.
Wanazoziita dini (Hizo Taasisi) kila miongo hubadilisha vitabu na kanuni zao kutokana na muda husika. Kwa kuhofia taasisi zao kukosa wafuasi na kuporomoka kiuchumi na nguvu.
Ref; USHOGA, miongo michache iliopita, awali, taasisi zote zinazotumia kivuli cha kujiita Dini waliukemea na kuulani vikali. Sasa umehalalishwa na kuwa halali, mpaka nyumba zinazotumika kwa kivuli cha kuziita Nyumba Za Ibada zinatumika kufungisha ndoa za jinsia moja. Kasoro dini moja tu!
Swali fikirishi;
Unaanzaje kuita kitu Nyumba ya Ibada (Sehemu watu wanakwenda kufanya ibada na kuomba msamaha kwa mungu), kufungisha ndoa za mashoga? Ushoga ni Ibada?
Maandiko katika vitabu vya dini yote yana ushahidi wa kutosha kwamba mungu aliwalaani na kuwaangamiza mashoga waliojihusisha na mahusiano ya jinsia moja huko nyuma. Soma historia ya Mtume Loot (Nabii Lut) kwa kupitia maandiko ya Kikristo na Kiislamu. Tena mungu akakemea kisawasawa swala hilo!
Ukiwa "NEUTRAL" utaelewa point yangu, ukiwa "BIASED" huwezi kuelewa point yangu!
Hapana.ina maana huioni? Ukiona dini fulani inapenda fujo, shari, ghasia na waumini wake wana jazba mpaka wanaua binadamu wenzao kwa imani ya dini ujue hiyo dini ni ya kishenzi na kijuha
though i'm not sure, i seem to gravitate more towards yahweh the christian god rather than allah the muslim one, allah just seems like a myth to me.... or are they the same?? maybe you can helpAnd If I were you I'd hold my horses on calling gods,hell and heaven as false Ideas.
Until the day I can falsify it. Until the day I can prove beyond doubt that they don't exist.