Do you agree or not?

πŸ˜…πŸ˜…πŸ˜…πŸ˜…Mungu kasema tuje tuzaliane ye anataka kupinga kwanza kila mtoto anakuja na rizki yake
 
yeye alizaliwa na tajiri?
stupid!
 
Kuna point nadhani alikuwa nayo, sema namna alivyoiwasirisha sasa πŸ˜…
 
Kwani kuna Mtu alimpelekea mtoto amsaidie kulea?

Kuzuia watu kuzaa ni kunyima watu haki yao kikatiba na kutoka kwa Mungu muumbaji.
 
Ndo maana bill gates kila siku anaumiza kichwa aje na chanjo ipi kutumaliza.
 
Nadhani alikuwa na point yake.kwamba ili uzae kunakuwa na kiwango flani ambacho kitakusaidia kulea familia
 
Sijajua alikuwa analenga nini lakini nadhani statement hiyo imemtoka kutokana na kuexperience maisha ya umaskini aliyopitia enzi hizo..Huyu jamaa kwao wamezaliwa 11 na hakuna hata aliyeenda shule yeye mwenyewe Jeffrey Lamar Williams better known by his tage name "Young thug" or simply thugger aliacha shule kwenye grade za awali kabisa baada ya kumvunja mkono kwa jiwe mwalimu wake,walifukuzwa mara kibao kwenye appartment walizokuwa wanaishi Atlanta na walivyokuwa wadogo kuna appartment waliishi floor ya chini ndio walikuwa wanakaa kina Peewee longway(rapper mwingine kutoka Atlanta) na kuna muda walikuwa msosi wanaupata kwa kina peewee,maisha yalikuwa magumu mpaka kaka yao mmoja alifungwa maisha jela lakini mwaka huu ametoka yupo huru na ni rapa pia,familia yao ilikuwa kama machokoraa.Nadhani kutokana na misoto aliyopitia ndio maana anaona kuwa na watoto ni mpk uwe tajiri kitu ambacho kwa namna nyingine hajashirikisha nature kujenga arguments alizoziweka..Hapo alipo ana miaka isiyozid 30 nadhani lakini ana watoto 6 mama tofautitofauti
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…