LegalGentleman
Member
- Oct 26, 2021
- 99
- 294
JE UNAKUBALIANA NAE?!!!
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Sijajua alikuwa analenga nini lakini nadhani statement hiyo imemtoka kutokana na kuexperience maisha ya umaskini aliyopitia enzi hizo..Huyu jamaa kwao wamezaliwa 11 na hakuna hata aliyeenda shule yeye mwenyewe Jeffrey Lamar Williams better known by his tage name "Young thug" or simply thugger aliacha shule kwenye grade za awali kabisa baada ya kumvunja mkono kwa jiwe mwalimu wake,walifukuzwa mara kibao kwenye appartment walizokuwa wanaishi Atlanta na walivyokuwa wadogo kuna appartment waliishi floor ya chini ndio walikuwa wanakaa kina Peewee longway(rapper mwingine kutoka Atlanta) na kuna muda walikuwa msosi wanaupata kwa kina peewee,maisha yalikuwa magumu mpaka kaka yao mmoja alifungwa maisha jela lakini mwaka huu ametoka yupo huru na ni rapa pia,familia yao ilikuwa kama machokoraa.Nadhani kutokana na misoto aliyopitia ndio maana anaona kuwa na watoto ni mpk uwe tajiri kitu ambacho kwa namna nyingine hajashirikisha nature kujenga arguments alizoziweka..Hapo alipo ana miaka isiyozid 30 nadhani lakini ana watoto 6 mama tofautitofautiJE UNAKUBALIANA NAE?!!!View attachment 2209132