Binti Maringo
JF-Expert Member
- Jul 4, 2007
- 2,804
- 96
Unajua ndugu siko hapa for the purpose of coupling with ANYBODY!
Tukate ishu tu hayo mengine tuyaache.
Asante mdogo wangu..enjoy ur day too!Hahahaah i think hatuelewani na hatutaelewana....sijakwambia upo hapa kukata issue na mwanaume au NN...OR you might as well.... i know u r a married woman +kids....or may be sentesi yangu imepinda na hujaielewa what i meant!.........naona unataka complicate things!....
ok have a great night!....
But celebrities are just human beings like us. What goes on in their lives for the most part is what goes on in regular folk's life. The only difference is that their personal lives become everybody's business once they get famous...
And thats the challenge they face that others don't have to. It's hard to have a personal relationship when it's not quit personal. But there are other reasons also which are of their own doing.
But marriage dissolutions and breakups don't only happen to celebrities. They happen to people of all walks of life....
True true. I think these days people marry for the wrong reasons. Kuna kitu kinaitwa patience & you can't be patient in a relationship if you don't really love the person.
...hivi, wrong reasons ni zipi kwa mtazamo wako?
True true. I think these days people marry for the wrong reasons. Kuna kitu kinaitwa patience & you can't be patient in a relationship if you don't really love the person.
...hivi, wrong reasons ni zipi kwa mtazamo wako?
Kuoa/kuolewa kwa ajili ya pesa, kumuo/kuolewa ila kuridhisha watu e.g wazazi, Kuoa/kuolewa ili kuenhance your career, kumuoa/kuolewa na mtu kwa ajili ya uzuri et al. Una hitaji examples zaidi mkuu?
Kwa hiyo zamani hakukuwepo na watu waliokuwa wanaoa au kuolewa kwa sababu hizo?
That the first two years of marriage are the toughest? This question comes to me in light of the report that Usher Raymond filed for petition to dissolve his marriage to his wife of nearly two years....
Actually the 1st five years are very difficult in many marriages
Kelly01,
I thought tunaheshimiana!
Was I wrong? Hapa tunajadili mada hatutafuti mates pls!
To some YES-
Probably its because ndio muda pekee wa kumjua mwenzio jinsi alivyo- the true colours of his/hers. Mara nyingi hii hutokea kwa wale ambao hawakubahatika kukaa na kufahamiana vizuri wakati wa uchumba. So miaka miwili ya kwanza inakuwa kama vile ndio unamfahamu mwenzi wako kwa yote mema na mabaya. Kwa bahati nzuri wenzetu wanaume wengi hureveal makucha yao kwa haraka sana baada ya kukuoa so kama ni mtu wa kilevi sana basi utamjua within a second akishakuoa (hii ni kama alikuwa anajitahidi kuficha kipindi cha uchumba). Kama ni mpenda watoto utagundua pia- Hawajajaliwa kuplay it nicely especially akishaoa. So ni rahisi kukijua na hapo ndipo tunapohisi kuwa wnzetu wamebadilika haraka kumbe ni tabia zake za siku zote.
nadhani haya mambo hayatabiriki, unaweza kukaa na mwanaume/mwanamke kipindi kirefu cha uchumba mkajuana/fahamiana lakini isisaidie kitu, na unaweza ukaingia bado hujafahamu matabia yake vizuri na mambo yakasonga, kipindi cha miaka 2 kwa cku hizi ndoa nyingi zinakumbwa na misukosuko kibao, hapo ndio panapohitajika uvumilivu/uckivu na maelewano, sasa warembo/wakaka wa cku hizi wanaingia coz ya u beauty,mali etc mkiingia ndani kasheshe kidogo likizuka hakuna alie tayari kuvumilia/kukaa chini na kuongelea tofauti zenu coz binti atajiona mie mzuri haniambiii lolote na mr atajiona mie napesa naweza kuchukua yoyote, miaka miwili ni midogo sana kwa mitafaruku ya ndoa mpaka watu wafikie kutengana, uvumilivu/mapenzi ya dhati nayahitajika.
That the first two years of marriage are the toughest? This question comes to me in light of the report that Usher Raymond filed for petition to dissolve his marriage to his wife of nearly two years....
To some YES-
Probably its because ndio muda pekee wa kumjua mwenzio jinsi alivyo- the true colours of his/hers...
hao 'wachache' wanaofanya hivyo wanakosea! walikuwa na muda wa kutosha kipindi cha uchumba kujuana hizo true colors. Ndoa ni hitimisho/kilele cha mapenzi, sio uwanja wa majaribio.
Kuoa/kuolewa kwa ajili ya pesa, kumuo/kuolewa ila kuridhisha watu e.g wazazi, Kuoa/kuolewa ili kuenhance your career, kumuoa/kuolewa na mtu kwa ajili ya uzuri et al. Una hitaji examples zaidi mkuu?