To some YES-
Probably its because ndio muda pekee wa kumjua mwenzio jinsi alivyo- the true colours of his/hers. Mara nyingi hii hutokea kwa wale ambao hawakubahatika kukaa na kufahamiana vizuri wakati wa uchumba. So miaka miwili ya kwanza inakuwa kama vile ndio unamfahamu mwenzi wako kwa yote mema na mabaya. Kwa bahati nzuri wenzetu wanaume wengi hureveal makucha yao kwa haraka sana baada ya kukuoa so kama ni mtu wa kilevi sana basi utamjua within a second akishakuoa (hii ni kama alikuwa anajitahidi kuficha kipindi cha uchumba). Kama ni mpenda watoto utagundua pia- Hawajajaliwa kuplay it nicely especially akishaoa. So ni rahisi kukijua na hapo ndipo tunapohisi kuwa wnzetu wamebadilika haraka kumbe ni tabia zake za siku zote.
nadhani haya mambo hayatabiriki, unaweza kukaa na mwanaume/mwanamke kipindi kirefu cha uchumba mkajuana/fahamiana lakini isisaidie kitu, na unaweza ukaingia bado hujafahamu matabia yake vizuri na mambo yakasonga, kipindi cha miaka 2 kwa cku hizi ndoa nyingi zinakumbwa na misukosuko kibao, hapo ndio panapohitajika uvumilivu/uckivu na maelewano, sasa warembo/wakaka wa cku hizi wanaingia coz ya u beauty,mali etc mkiingia ndani kasheshe kidogo likizuka hakuna alie tayari kuvumilia/kukaa chini na kuongelea tofauti zenu coz binti atajiona mie mzuri haniambiii lolote na mr atajiona mie napesa naweza kuchukua yoyote, miaka miwili ni midogo sana kwa mitafaruku ya ndoa mpaka watu wafikie kutengana, uvumilivu/mapenzi ya dhati nayahitajika.