Do you feel LOVED?

Kwa hiyo ulimtamkia na macho makavu kwamba humtaki tena ingawa anakupenda? I'm sorry to dig up deeper and forgive me if I sound too nosy!!
 
Kwa hiyo ulimtamkia na macho makavu kwamba humtaki tena ingawa anakupenda? I'm sorry to dig up deeper and forgive me if I sound too nosy!!
It's good to dig deeper especially when it comes to Mr. Rocky just continue digging deeper and depeer
 
Yeah pole nyingi zimiendee babu Asprin ..

Anyhow ..
I love my family ...
I love my friends ..

Lakini hiyo ya hapo juu hainihusu...
Hata kidoncho...

Jamani AD... So full of LOVE... Yet so empty of being in love.... Dah!
 
can i ask u a question?na kama ndiyo?je ww ni muumini ya kwamba jambo lolote hapa dunian linalomzunguka ni just a matter of choic?
na kama ukilijua hilo dunia aitakusumbua...changes are olwys there...for instance mm nimeshatendwa sana lkn stl nampenda uyo alienitenda in a sense kwamba simchukii ata kidogo wala sina nae bifu hivyo ni sawa na mtu ambae amechang gafla neva dare to cry for him itakupa tabu life goz on...lkn cha ajabu our olmyt God says 'OUR WISH IS HIS COMAND' so keep focusing to ur desire every thng kitakua kama unavyotaka
 
Kwa hiyo ulimtamkia na macho makavu kwamba humtaki tena ingawa anakupenda? I'm sorry to dig up deeper and forgive me if I sound too nosy!!

Mkuu it was so hard to break that news to her and it was not so easy to tell her that it is over between me and her. Nilitafuta great moment ambayo tunaweza kushare pamoja na it was so romantic and far away from our usual place and out of nothing as a jokes i told her that it is bettwer we end up our relation as it seems kuwa haina maendeleo na haitatufikisha kokote. It was just a joke to her but i mean it and aliendelea kuuliza kuwa ni utani nikamwambia namaanisha

Mkuu i know but ni experience ngumu mno kuipitia
 
Hii post sasa ndo nimeshiba.... lol... Hivo i second the above.... Hapo PA aking'ang'ana ana lake jambo... nisha muona ka mchokozi vile....lol
 
Home first then automatically kitanda atakiona tu mwenyewe

Hahahahahh
Wangapi ambaop washakiona hicho kitanda and all of them unawaambia unawapenda na ukiw anae unamwambia ni wewe tuu unayekiyumia kitanda hiki
 
Hii post sasa ndo nimeshiba.... lol... Hivo i second the above.... Hapo PA aking'ang'ana ana lake jambo... nisha muona ka mchokozi vile....lol

TF ni mchokozi mbaya na ananitafuta sana na sasa wanashirikiana na jamaa hapo juu kutafuta kupata ukweli how i dump someone i love
 
Hahahahahh
Wangapi ambaop washakiona hicho kitanda and all of them unawaambia unawapenda na ukiw anae unamwambia ni wewe tuu unayekiyumia kitanda hiki
Not that easy mazee, siyo guest house hiyo mkuu
 
Hilo dongo la Rocky ama ADI?? lol
siyo dongo bana...thats my PROVERB.
napenda sana mtu eote anaependa fact ata kama inamuhusu yy mwenyewe basi anakua yupo tayar kujidadavua kwa kuelewa au kutoelewa no mata wat.
kitu ambacho mm naamini ndiyo nguzo ya mwelevu.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…