Tulizo Asante saana kwa post ilotulia hivi.... THANK YOU.... Ila tu nina tatizo na wivu... hili swali nimelenga kwako.... na hawa members wengine ambao wako the same line of thinking kama wewe.... namely... TATIZO MDA, EIYER and NYUMBA KUBWA... ili woote tuwe in the same line.... WIVU.... Ni nini??
Kaunga has to know also us men we have passed through very difficult times as well, and we didn't want to blame that we were being used by women all you have to do is to thank GOD for what happened and asked him for his blessings and forgiveness, huwa wanasema usipomsamehe yule aliyekukosea unaweza kuwa unajiwekea wakati mgumu kuweza kusogea mbele ukiamini kila unalofanya kunaweza kutokea jambo lilitokea kwenye mahusiano yaliyopita jambo la msingi ni kumshukuru na kumuomba Mungu akuonyeshe njia ili usije ukaingia kwenye majaribu na matatizoPlease i need you to finish this PA....
Thanks AshaDii love for sharing this,
Nimesoma kila post so far, hasa SteveDii (sijui ameshamoata yule mchumba akimtafuta hapa) Gaga, Klorokwini, tatizomuda, Chauri, Eiyer na wengineo
Naona tu kuna kipengele ambacho bado kipo contentious:WIVU
For wengine wanaona kuwa wivu haufai, wwengine wanaona wivu kama chachu ya mapenzi
I understand kuwa tumeshajadili sana role ya wivu kwenye mapenzi na hata kuitofautisha na ghubu nk
Lakini kwa upende wangu nadhani wivu wa kiasi ni muhimu...na sio lazima eti ionyeshe kuwa hujiamini au humpendi mwenzi wako..hapana...mi nadhani its something that comes NATURALLY unapompenda mwenzako KIUKWELI. Kwa sababu mapenzi ya ukweli huwa na some degree of possessiveness, kutaka chako kiwe chako peke yako, lakini pia kikitaka chako kisjisikie kuwa ni chako na kipo protected (nadhani kina dada/mama hapa mnanipata).
Nashawishika kuamini kuwa hata wanyama, pamoja na kunyimwa utashi, wana "wivu" wa aina yao ndo maana kuna usemi 'mafahali wawili hawakai zizi moja"...tumeshajiuliza, kama anavosisitiza SteceDii, chanzo cha msemo huu?
Kwa hiyo, penye mapenzi ya kweli hapakosi wivu,suala ni kuangalia tu kwamba wivu suifike kwenye hatua ya Ghubu......maana hiyo sasa inakuwa sio mpango.
Ni hayo tu kwa sasa
Love leo nikitoka tu job nakuja na surprise moja ivi, sikwambii sasa hivi lol
AshaDii naomba maana ya huu msemo nilioquote kwenye movie moja jana sijui ni tamthilia
" A man can show you his bed but not his home"
"Love is a temporary madness. It erupts like an earthquake and then subsides. And when it subsides you have to make a decision. You have to work out whether your roots have become so entwined together that it is inconceivable that you should ever part. Because this is what love is. Love is not breathlessness, it is not excitement, it is not the promulgation of promises of eternal passion. That is just being "in love" which any of us can convince ourselves we are.
.... Ila tu nina tatizo na wivu... hili swali nimelenga kwako.... na hawa members wengine ambao wako the same line of thinking kama wewe.... namely... TATIZO MDA, EIYER and NYUMBA KUBWA... ili woote tuwe in the same line.... WIVU.... Ni nini??
AshaDii sikubaliana na maneno hapo juu kuwa wivu ni wastage of time and resources. Wivu lazima uwepo hata kama unajua kabisa hujui mwenzako moyoni mwake anafikiria nini au ataenda kutenda nini
Ni lazima uone wivu kwa mtu wako ni lazima hata akiwa amesimama na mwanaume mwingine barabarani uone wivu
Wivu ni ile hali ya kuwa unampenda mtu na hutaki kushare (japo kushare kupo kwa wengine) na unatamani awe wako wewe tuu na sio wa mwingine
Sasa utaachaje kumuonea wivu umpendae
Kaunga has to know also us men we have passed through very difficult times as well, and we didn't want to blame that we were being used by women all you have to do is to thank GOD for what happened and asked him for his blessings and forgiveness, huwa wanasema usipomsamehe yule aliyekukosea unaweza kuwa unajiwekea wakati mgumu kuweza kusogea mbele ukiamini kila unalofanya kunaweza kutokea jambo lilitokea kwenye mahusiano yaliyopita jambo la msingi ni kumshukuru na kumuomba Mungu akuonyeshe njia ili usije ukaingia kwenye majaribu na matatizo
Nimepita hapa kuwasalimuni.
Leo akili yangu haijakaa sawa kabisa.....
Akija MwanajamiiOne mwambieni namsalimu. AshaDii shem, niwie radhi.
AshaDii, Tafsiri ya kitu inatokana na wewe unavyotaka labda tu kama utaamua kukimbiza bendera inayofuata upepo.
Binafsi ninaamini nyuma ya wivu hakuna mapenzi ila kutoaminiana. Kama ninampenda mpenzi wangu, na pia ninaamini mpenzi wangu ananipenda basi nitamwamini, sitokuwa na woga atatoka nje na ku-cheat, sitokuwa na woga atamtafuta mwingine zaidi yangu. Sito-assume anatoka nje na pia Sito –assume hanipendi. Kama itatokea hivyo hapo hakuna mapenzi na sina haja ya kuwa na wivu kwani hakuna mapenzi .. ni fact hakuna mapenzi. Kama nitamkosa mpenzi kwa sababu hakunijua basi iwe hivyo..lakini siwezi kuiga ili ajue nampenda..Siwezi kupata ‘Pain' kwa vitu vya kuhisi..Feelings..Mola ametunyima uwezo wa kusoma mawazo na kilichomo mioyoni mwetu, Mapenzi ni Imani, Heshima, Thamani, Uvumilivu, Sacrifice na Maisha.
Hebu niambie Wivu una-compliment nini kwenye angalau kimoja hapo juu?. Je wivu unachangia imani? Yaani mtu akinionea wivu basi nimwamini ananipenda? Au mtu akinionea wivu ndiyo ananithamini? Au akinionea wivu ndiyo amejitoa muhanga kwangu?
Wivu? Nadhani wivu ni kama kitu kinachopigana na mawazo.. Wivu unakupa Option B ambayo haikuwepo wakati unafanya maamuzi ya kumpenda mtu.. Ni fikira zako ambazo zinakupa negative challenge. Wivu ni kama virus wakati inakupa challenge inaingia kwa utamu i.e. nampenda namwonea wivu....lakini wakati inafanya madhara yake ni chungu kama shubiri..
All in all, Wivu unaujenga wewe mwenyewe..kwa utamu eti.. nikionyesha wivu ndio mapenzi.. lakini unasahau ni virus mbaya sana..inapingana na Sacrifice yako.. Wivu una-challenge Sacrifice zako bila facts!.. Kama wivu ungeweza kuja na evidence za ukweli ..then huo sio wivu ..ni ukweli na kama ni ukweli mpenzi wako anampenda fulani zaidi yako..kwanini un'gan'ganie..achia ngazi ni end of the story!
........lol...... Rocky from the way nimeelewa ni kua.... A man atakupekeleka katika vijiwe vyake vyoote vya starehe lakini (hasa kwa malengo ya SEX) but sio sehemu ambayo anathamini kua ni his haven.... But on one condition kunaweza kukawa na exception... if the gal is that special.....
.. at the same time it makes me Proud he is mine.....
A man like that, do feel the love for him
Can u be in love with a man like that wakati unajua kabisa kuwa he can not come out of the box and declare that you are his gal
Can he touch your hands wakati mnatembea pamoja na kuwatambulisha marafiki zake kuwa u are his gal
Can he be jelous of you hata akikuona unacheat na mwanaume mwingine