Do you feel LOVED?

Do you feel LOVED?

Tulizo Asante saana kwa post ilotulia hivi.... THANK YOU.... Ila tu nina tatizo na wivu... hili swali nimelenga kwako.... na hawa members wengine ambao wako the same line of thinking kama wewe.... namely... TATIZO MDA, EIYER and NYUMBA KUBWA... ili woote tuwe in the same line.... WIVU.... Ni nini??

AshaDii sikubaliana na maneno hapo juu kuwa wivu ni wastage of time and resources. Wivu lazima uwepo hata kama unajua kabisa hujui mwenzako moyoni mwake anafikiria nini au ataenda kutenda nini
Ni lazima uone wivu kwa mtu wako ni lazima hata akiwa amesimama na mwanaume mwingine barabarani uone wivu
Wivu ni ile hali ya kuwa unampenda mtu na hutaki kushare (japo kushare kupo kwa wengine) na unatamani awe wako wewe tuu na sio wa mwingine
Sasa utaachaje kumuonea wivu umpendae
 
Please i need you to finish this PA....
Kaunga has to know also us men we have passed through very difficult times as well, and we didn't want to blame that we were being used by women all you have to do is to thank GOD for what happened and asked him for his blessings and forgiveness, huwa wanasema usipomsamehe yule aliyekukosea unaweza kuwa unajiwekea wakati mgumu kuweza kusogea mbele ukiamini kila unalofanya kunaweza kutokea jambo lilitokea kwenye mahusiano yaliyopita jambo la msingi ni kumshukuru na kumuomba Mungu akuonyeshe njia ili usije ukaingia kwenye majaribu na matatizo
 
Thanks AshaDii love for sharing this,

Nimesoma kila post so far, hasa SteveDii (sijui ameshamoata yule mchumba akimtafuta hapa) Gaga, Klorokwini, tatizomuda, Chauri, Eiyer na wengineo

Naona tu kuna kipengele ambacho bado kipo contentious:WIVU

For wengine wanaona kuwa wivu haufai, wwengine wanaona wivu kama chachu ya mapenzi

I understand kuwa tumeshajadili sana role ya wivu kwenye mapenzi na hata kuitofautisha na ghubu nk

Lakini kwa upende wangu nadhani wivu wa kiasi ni muhimu...na sio lazima eti ionyeshe kuwa hujiamini au humpendi mwenzi wako..hapana...mi nadhani its something that comes NATURALLY unapompenda mwenzako KIUKWELI. Kwa sababu mapenzi ya ukweli huwa na some degree of possessiveness, kutaka chako kiwe chako peke yako, lakini pia kikitaka chako kisjisikie kuwa ni chako na kipo protected (nadhani kina dada/mama hapa mnanipata).

Nashawishika kuamini kuwa hata wanyama, pamoja na kunyimwa utashi, wana "wivu" wa aina yao ndo maana kuna usemi 'mafahali wawili hawakai zizi moja"...tumeshajiuliza, kama anavosisitiza SteceDii, chanzo cha msemo huu?

Kwa hiyo, penye mapenzi ya kweli hapakosi wivu,suala ni kuangalia tu kwamba wivu suifike kwenye hatua ya Ghubu......maana hiyo sasa inakuwa sio mpango.
Ni hayo tu kwa sasa

Love leo nikitoka tu job nakuja na surprise moja ivi, sikwambii sasa hivi lol

Love this post you have so explained what i believe in kuhusu Wivu (of coz why we are compactible...lol)... Mimi naamini mtu unaempenda hasa lazima kuwe na ki element cha Wivu.... I strongly believe that.... Enways... Sina la kuongeza hapo labada nisubiri wanofikiri otherwise wakisoma hio post watesema vipi.... alafu bora ulikuwepo naona PA was going out of line....lol

Hio in blue.... Looking forward to it Hon' for as much as i hate surprises, you have never given me an ugly one .... yet.... (ikinifurahisha saaana... you know what is in store for you.....)
 
AshaDii naomba maana ya huu msemo nilioquote kwenye movie moja jana sijui ni tamthilia

" A man can show you his bed but not his home"

........lol...... Rocky from the way nimeelewa ni kua.... A man atakupekeleka katika vijiwe vyake vyoote vya starehe lakini (hasa kwa malengo ya SEX) but sio sehemu ambayo anathamini kua ni his haven.... But on one condition kunaweza kukawa na exception... if the gal is that special.....
 
"Love is a temporary madness. It erupts like an earthquake and then subsides. And when it subsides you have to make a decision. You have to work out whether your roots have become so entwined together that it is inconceivable that you should ever part. Because this is what love is. Love is not breathlessness, it is not excitement, it is not the promulgation of promises of eternal passion. That is just being "in love" which any of us can convince ourselves we are.

Beautiful words Rocky..... Wonderful....
 
Nimepita hapa kuwasalimuni.

Leo akili yangu haijakaa sawa kabisa.....

Akija MwanajamiiOne mwambieni namsalimu. AshaDii shem, niwie radhi.
 
.... Ila tu nina tatizo na wivu... hili swali nimelenga kwako.... na hawa members wengine ambao wako the same line of thinking kama wewe.... namely... TATIZO MDA, EIYER and NYUMBA KUBWA... ili woote tuwe in the same line.... WIVU.... Ni nini??

AshaDii, Tafsiri ya kitu inatokana na wewe unavyotaka labda tu kama utaamua kukimbiza bendera inayofuata upepo.

Kama nilivyosema hapo awali..mimi nina-define Wivu kama ‘psychological torture’ katika game la mapenzi. Ni chachu ya mapenzi..(catalyst)..katika kuleta machungu. Wivu siku zote ni vitu vya ku-fikirika … ni assumptions na sio facts. Kama unapata facts basi ni mwisho wa mapenzi. Sasa kwa nini ujiumize na assumptions?

Hakuna siku Wivu unaweza ku-stand alone lazima uegemee kwenye kitu fulani.. uzuri, pesa, utanashati..etc..Ni assumptions.. ambazo chanzo chache ni woga wa kukosa ulichonacho.. Kila mtu anaogopa kukosa..unaogopa kumkosa mpenzi wako..hujiamini? It’s a kind of phobia..yaani ipo ipo tu ..lakini effects zake zinaonekana kwa matendo..na mara nyingi ni madhara!

Binafsi ninaamini nyuma ya wivu hakuna mapenzi ila kutoaminiana. Kama ninampenda mpenzi wangu, na pia ninaamini mpenzi wangu ananipenda basi nitamwamini, sitokuwa na woga atatoka nje na ku-cheat, sitokuwa na woga atamtafuta mwingine zaidi yangu. Sito-assume anatoka nje na pia Sito –assume hanipendi. Kama itatokea hivyo hapo hakuna mapenzi na sina haja ya kuwa na wivu kwani hakuna mapenzi .. ni fact hakuna mapenzi. Kama nitamkosa mpenzi kwa sababu hakunijua basi iwe hivyo..lakini siwezi kuiga ili ajue nampenda..Siwezi kupata ‘Pain’ kwa vitu vya kuhisi..Feelings..Mola ametunyima uwezo wa kusoma mawazo na kilichomo mioyoni mwetu, Mapenzi ni Imani, Heshima, Thamani, Uvumilivu, Sacrifice na Maisha.

Hebu niambie Wivu una-compliment nini kwenye angalau kimoja hapo juu?. Je wivu unachangia imani? Yaani mtu akinionea wivu basi nimwamini ananipenda? Au mtu akinionea wivu ndiyo ananithamini? Au akinionea wivu ndiyo amejitoa muhanga kwangu?

Wivu? Nadhani wivu ni kama kitu kinachopigana na mawazo.. Wivu unakupa Option B ambayo haikuwepo wakati unafanya maamuzi ya kumpenda mtu.. Ni fikira zako ambazo zinakupa negative challenge. Wivu ni kama virus wakati inakupa challenge inaingia kwa utamu i.e. nampenda namwonea wivu....lakini wakati inafanya madhara yake ni chungu kama shubiri..

All in all, Wivu unaujenga wewe mwenyewe..kwa utamu eti.. nikionyesha wivu ndio mapenzi.. lakini unasahau ni virus mbaya sana..inapingana na Sacrifice yako.. Wivu una-challenge Sacrifice zako bila facts!.. Kama wivu ungeweza kuja na evidence za ukweli ..then huo sio wivu ..ni ukweli na kama ni ukweli mpenzi wako anampenda fulani zaidi yako..kwanini un’gan’ganie..achia ngazi ni end of the story!
 
AshaDii sikubaliana na maneno hapo juu kuwa wivu ni wastage of time and resources. Wivu lazima uwepo hata kama unajua kabisa hujui mwenzako moyoni mwake anafikiria nini au ataenda kutenda nini
Ni lazima uone wivu kwa mtu wako ni lazima hata akiwa amesimama na mwanaume mwingine barabarani uone wivu
Wivu ni ile hali ya kuwa unampenda mtu na hutaki kushare (japo kushare kupo kwa wengine) na unatamani awe wako wewe tuu na sio wa mwingine
Sasa utaachaje kumuonea wivu umpendae

Nakubaliana na kila neno la hii post.....

Kaunga has to know also us men we have passed through very difficult times as well, and we didn't want to blame that we were being used by women all you have to do is to thank GOD for what happened and asked him for his blessings and forgiveness, huwa wanasema usipomsamehe yule aliyekukosea unaweza kuwa unajiwekea wakati mgumu kuweza kusogea mbele ukiamini kila unalofanya kunaweza kutokea jambo lilitokea kwenye mahusiano yaliyopita jambo la msingi ni kumshukuru na kumuomba Mungu akuonyeshe njia ili usije ukaingia kwenye majaribu na matatizo

I know men suffer... But not as much as as we women... We give our hearts and souls... on and on and on.... And hivo hivo kuumizwa.... I think i understand where she is coming from.... What i can gurantee ni kua she needs time to heal.... For hapo ndio tunapotofautianaga.... Time to heal..
 
Nimepita hapa kuwasalimuni.

Leo akili yangu haijakaa sawa kabisa.....

Akija MwanajamiiOne mwambieni namsalimu. AshaDii shem, niwie radhi.

ODM msiba ulopata ni mkubwa... hivo i don't mind kabisa.... It is Sad.
Narudia kua Mungu awape Imani na Amani katika roho zenu....
Salam kwa MJ1 Zimefika..... And your "niwie radhi" rejectected on
the grounds kua ni understandable....
 
I know men suffer... But not as much as as we women... We give our hearts and souls... on and on and on.... And hivo hivo kuumizwa.... I think i understand where she is coming from.... What i can gurantee ni kua she needs time to heal.... For hapo ndio tunapotofautianaga.... Time to heal..[/QUOTE]
Hapo ndipo penye shughuli
 
AshaDii, Tafsiri ya kitu inatokana na wewe unavyotaka labda tu kama utaamua kukimbiza bendera inayofuata upepo.

Binafsi ninaamini nyuma ya wivu hakuna mapenzi ila kutoaminiana. Kama ninampenda mpenzi wangu, na pia ninaamini mpenzi wangu ananipenda basi nitamwamini, sitokuwa na woga atatoka nje na ku-cheat, sitokuwa na woga atamtafuta mwingine zaidi yangu. Sito-assume anatoka nje na pia Sito –assume hanipendi. Kama itatokea hivyo hapo hakuna mapenzi na sina haja ya kuwa na wivu kwani hakuna mapenzi .. ni fact hakuna mapenzi. Kama nitamkosa mpenzi kwa sababu hakunijua basi iwe hivyo..lakini siwezi kuiga ili ajue nampenda..Siwezi kupata ‘Pain' kwa vitu vya kuhisi..Feelings..Mola ametunyima uwezo wa kusoma mawazo na kilichomo mioyoni mwetu, Mapenzi ni Imani, Heshima, Thamani, Uvumilivu, Sacrifice na Maisha.

Hebu niambie Wivu una-compliment nini kwenye angalau kimoja hapo juu?. Je wivu unachangia imani? Yaani mtu akinionea wivu basi nimwamini ananipenda? Au mtu akinionea wivu ndiyo ananithamini? Au akinionea wivu ndiyo amejitoa muhanga kwangu?

Wivu? Nadhani wivu ni kama kitu kinachopigana na mawazo.. Wivu unakupa Option B ambayo haikuwepo wakati unafanya maamuzi ya kumpenda mtu.. Ni fikira zako ambazo zinakupa negative challenge. Wivu ni kama virus wakati inakupa challenge inaingia kwa utamu i.e. nampenda namwonea wivu....lakini wakati inafanya madhara yake ni chungu kama shubiri..

All in all, Wivu unaujenga wewe mwenyewe..kwa utamu eti.. nikionyesha wivu ndio mapenzi.. lakini unasahau ni virus mbaya sana..inapingana na Sacrifice yako.. Wivu una-challenge Sacrifice zako bila facts!.. Kama wivu ungeweza kuja na evidence za ukweli ..then huo sio wivu ..ni ukweli na kama ni ukweli mpenzi wako anampenda fulani zaidi yako..kwanini un'gan'ganie..achia ngazi ni end of the story!

Sasa nimeelewa ni why tuna chukulia tofauti katika kutumia WIVU katika Mapenzi.... Hio paragraph in purple says it all... Na (correct me if i am wrong) naona hapo umechukulia WIVU as if ni kwamba mtu anaamua tu sasa niwe na WIVU....Naona nimedefine WIVU kama vile mie ninavoona mimi... au in other words how i feel when i am in Love..... Tulizo ni kwamba if I love some one... kuna vitu ambavo hunifanya lazima ki aspect cha wivu kiwepo.... Mfano... Mpenzi wangu yaweza tokea tumeenda mahala... inapokua yupo na mwanamke mwingine (labda engaged katika mazungumzo yoyote yale...) kuna kawivu kanakuwepo kua that lady ameshika attention ya Mpenzi wangu wakati huo.... Sio kwamba nakua simuamini - that aweza mtamani yule.... NO... ila the simple fact that for that brief time someone has caught his attention.... Cha ajabu, at the same time it makes me Proud he is mine.....
 
........lol...... Rocky from the way nimeelewa ni kua.... A man atakupekeleka katika vijiwe vyake vyoote vya starehe lakini (hasa kwa malengo ya SEX) but sio sehemu ambayo anathamini kua ni his haven.... But on one condition kunaweza kukawa na exception... if the gal is that special.....

A man like that, do feel the love for him
Can u be in love with a man like that wakati unajua kabisa kuwa he can not come out of the box and declare that you are his gal
Can he touch your hands wakati mnatembea pamoja na kuwatambulisha marafiki zake kuwa u are his gal
Can he be jelous of you hata akikuona unacheat na mwanaume mwingine
 
.. at the same time it makes me Proud he is mine.....

Nimekupata..sidhani kama huo naweza kuita wivu.. kama ulivyosema hiyo ni proud.. level ya satisfaction..ya kuona ..huyu ni wangu..

Mimi naamini wivu ni ule ambao unafanya hadi mtu unakereka.. ni karaha.. ni extreme..na una-negative impact..

By the way, nadhani kitu ulichosema ni tukubaliane ni kama a certain level ya wivu ambayo ni nature ya mwanadamu.. ni tolerable limit.. na kama unajua hatuwezi ku-discuss nature..kwani hata wanyama wa porini at the certain limit wana wivu..Binafsi nilikuwa nalenga vile vitu ambayo ni beyond nature..

Tatizo kubwa ni kujua the reasonable limit ambayo ni nature yetu..hapo ipo kazi..
 
A man like that, do feel the love for him
Can u be in love with a man like that wakati unajua kabisa kuwa he can not come out of the box and declare that you are his gal
Can he touch your hands wakati mnatembea pamoja na kuwatambulisha marafiki zake kuwa u are his gal
Can he be jelous of you hata akikuona unacheat na mwanaume mwingine

Hapa Rocky do you mean if I am the other gal... or "THE" Gal?? Nidadafulie hapo then we will move on....
 
Back
Top Bottom