AshaDii
Platinum Member
- Apr 16, 2011
- 16,189
- 18,102
- Thread starter
-
- #161
Nimekupata..sidhani kama huo naweza kuita wivu.. kama ulivyosema hiyo ni proud.. level ya satisfaction..ya kuona ..huyu ni wangu..
Mimi naamini wivu ni ule ambao unafanya hadi mtu unakereka.. ni karaha.. ni extreme..na una-negative impact..
By the way, nadhani kitu ulichosema ni tukubaliane ni kama a certain level ya wivu ambayo ni nature ya mwanadamu.. ni tolerable limit.. na kama unajua hatuwezi ku-discuss nature..kwani hata wanyama wa porini at the certain limit wana wivu..Binafsi nilikuwa nalenga vile vitu ambayo ni beyond nature..
Tatizo kubwa ni kujua the reasonable limit ambayo ni nature yetu..hapo ipo kazi..
Naona kweli neno WIVU inabidi iangaliwe vizuri... I wish ningekua na Kamusi nione definition.....