mkuu, hii kitu ndiyo inayofanya watu wabakie masela. Inatokea sana sana tu... Sometime wala siyo kwamba mtu anakuwa hakupendi, basi tu, kule kutoweza kustahimili majaribu ya kibinadamu. Na wengine just being out of curiosity. Tumeyasikia ya akina tiger woods, ashley cole, akina j-lo, akina david bekham, etc, etc... Ni kwamba pengine mtu anaweza akawa anakupenda kabisa kabisa, but kutokana na ujana or just curiosity, mtu anaamua kutembea na mwingine. Nakumbuka ile thread ya demu hapa jf aliyetaja anataka kutembea na mzungu, just to explore the world of mahaba. Si kwamba hakumpenda jamaa yake but an inbuilt curiosity drove her to dig further into her gratifications.
In addition to that, kuna wengine hao ambao hawawezi kusema no. True, am not kidding, wapo! I'll give you a story (sorry but i won't go deep to reveal id)... Kuna demu mmoja tukiwa secondary, basi huyo alikuwa kila mwanamme anayemtongoza anashindwa kujizuia... Unless huyo jamaa awe extremely weird! She couldn't simply say no for an answer. Of course, she could have been or stayed with one man and loved him to bits. But, we men sometimes cause all the suffering. We subject and elevate the promiscuity in girls like her. She could have been treated better by a man staying with her, and i believe she couldn't have objected to that. But the first, the second, third, fourth and so forth... All dump her from the reputation she has acquired, but also the fact that she was too easy for them to sleep with her, therefore men become alerted by the fact that, she could easily go with another man while still in relationship with them. And the cycle repeats itself.
On the other hand, an example of the girl above; is that, some are born sluts. I.e. Can't get enuff. The word here is nymphomania. Hawa wanaweza kuwa na mapenzi ya dhati kwa wapenzi wao, but no matter what you do, the'll want to, and indeed, they do need to sleep around with other men to get the satisfaction they need, just to keep topped up. Sex addiction is kinda funny, good and appreciated to some, but one man ain't gonna be enough for her. It's biological, and with a liberal mind cap on my head, i would say, it's no fault of theirs. Let them be! Chakujiuliza; ndiye mpenzi wako sasa, what do you do...!!
Hivyo basi, tukumbuke kwamba binadamu wanatofautiana. Na tunapo equate in sex kama last determinant ya mtu kukupenda, somehow, somewhat kuna kuchemsha kupata majibu fasaha ya hiyo love equation. Kwani, inaweza kutokea kabisa kwamba mmoja wenu akawa na abnormality ya sex kama nilivyoitolea mfano hapo juu kwa akina dada. But kwa wanaume nao, jambo hilo hilo laweza kuwa na ukweli. Kuna wanaume wasioweza kujizuia na pale wanapokuwa tempted, lakini pia kuna wanaume ambao wako sexually slow-paced au sex drive yao inahitilafu kutokana na sababu mbalimbali.
Mkuu tatizomuda, kama jina lako linavyoashiria, tatizo hapa ni muda!!! Maana unaweza ukaharakisha kujitumbukiza kwenye mapenzi jumla jumla na kujikuta unalikwaa lisilokupendeza. You would be left with long lasting scars. Kama hapo juu ulivyotolea mfano, yule uliyempenda yeyey hakukupenda, na yule aliyekupenda nawe hukumpenda. But kwa kujali muda, sometimes mutuality hujitokeza. Yakwamba, hata kama hampendani kihivyo, baada ya muda mrefu kupita, watu mnaamua kuoana, kwani hiyo jaribu-jaribisha mnakuwa mmeshai-work out namna ya kudeal nayo. Na kama nilivyosema, mtu unanunua mgodi mzimamzima baada ya tu-almasi tumoja tumoja kupatikana. Wao wanasema feasibility study! Tatizo ni muda!!
Siku njema. 🙂