Labda tunachanganya,kuna gubu,ukatili,uchoyo na ufisadi..... Wivu wa kati (wastani) unaleta chachu ktk mapenzi...ukikipenda utakilinda,utakipigania,utakitunza..hutakubali kushare na wengine...Mungu wetu ana wivu tena mkali-hataki kuchanganywa...sheria zinawaweka huru waliojeruhi kwa wivu kuwa hawakukusudia...wanyama hawana wivu..mbwa hana wivu...wivu hulinda/hukuza mapenzi, ndiyoo wahenga husema wivu ukionyeshwa ni tahadhari kabla ya hatari-iweje umuachie mke atoke pekee ucku au mke akae kimya kwa mienendo siyo ya mume..afu baadaye asingiziwe shetani? Mke ni mlinzi wa mume kadhalika mume mwerevu atamchunga mkewe.. wajibu wanandoa kulinda hatima yao na watoto pia...ulinzi hausubiri tukio eboo! baada ya tukio ni kilio kama sio msiba....Aina ya wivu inategemea na tukio/wakati...wivu wa kawaida...wivu mkaliii kufumania hapa ndiyo kila mtu anatoka kivyake ktk suala zima la wivu....tulizo kama hajaua mtu basi atatafuta kamba..