Do you feel LOVED?

Do you feel LOVED?

Ngoja nimuulize AshaDii kama hii confession inatosha kama akisema bado itabidi uendele kudadavua mstari baada ya mstari


Imetosha kidogo saana... but haipo convincing hivo ajibu hilo swali ulo muuliza.....loll
 
naona leo wewe unanichokosa na nina usongo sana nikushinde maana wewe najua bado sana ila unatafuta vigezo vya kuingia kwenye ndoa
Hahaha!!! Hebu mpe waifu pasiwedi yako naye aingie hapa achangie hii topic banaa utachangiaje peke yako ubinafsi huo
 
Thanks dear.... Poleni na Msiba, for nilikuona upo busy kidogo pale juu....<br />
Alafu AD nawee pia yakuhusu bana... stop hio bana (pessimistic)

Yeah pole nyingi zimiendee babu Asprin ..

Anyhow ..
I love my family ...
I love my friends ..

Lakini hiyo ya hapo juu hainihusu...
Hata kidoncho...
 
Imetosha kidogo saana... but haipo convincing hivo ajibu hilo swali ulo muuliza.....loll

Ashadii what else dop u need from me maana nimesema kile ambacho kiko moyoni mwangu
I feel her and always i miss her when am alone au kazini au safarini na always in my thought kwamba at that time what is she doing and she always also thinking of me any time we are apart
She is proud too and happy to have me and am happy to have her in my life
Naona wivu kwa ajili yake na ni wivu wa maendeleo
We always together in time of happiness or sorrow
We are together to build up our family and care about our child and bring them up for their future
She always tells me that am a great father to my kids
We plan together and impliment whatever we plan na tunaumia tunaposhindwa kufikia malengo tuliyojiwekea

Ohhh inatosha bana
 
Hahaha!!! Hebu mpe waifu pasiwedi yako naye aingie hapa achangie hii topic banaa utachangiaje peke yako ubinafsi huo

She is here with me na ananote kila ninachoandika
So be happy mkuu anaona ninavyotoa ukweli wangui na kwamba simpambi
 
Yeah it happen once and i realised i was in a big mistake to love someone ambaye was not even good to me and when i realize that i had a guts to let her go and ilichukua muda kukubaliana na hali halisi kwa upande wake ila ilikuwa lazima itokee.

She loved me, she cares about me, she was totally mad about me and she was able to do anything for me but too bad for me sikuwa na ujanja niliacha ukweli uchukue mkondo wake and let her go for good. Though it was so painful to her to let what she believe was true love

Ashadii............................. let end up here

Uliwezaje? to let reality takes its course? I'm curious to know how were you able to let go someone whom u said she loved and cared for you so much. Did u just dump her? How did u feel after letting her go? Guilty/Relief?
 
Sherrif huo mbishano umetoka huko nyuma na Rocky kuhusiana na kama mwanaume ambae ananitendea tofauti i.e hapo juu kwenye thread... nikaulizwa kua do i have the guts kusema He LOVES me?? Nikasema NO!! But kama nampenda... i do have the Guts to say I LOVE him... still confused ili nikurudishe??
....ave u ever been infront of a mirrow???if YES!!! U CAN SAY IT that he loves u too....coz kilichopo mbele kwa kioo ni taswira ya nyuma iliyo mkabala na kioo so ur love refrect it tofaut nikwamba ajadicrea it kwako...na kumbuka aimaanish kila anaekupenda lazma akuambie au muwe nae ktk mausiano mara kibao mm mwenyewe nachubulia juu kwa juu ctuatn kama iyo...av A gut to say SOOOOOOOOOOO
 
Uliwezaje? to let reality takes its course? I'm curious to know how were you able to let go someone whom u said she loved and cared for you so much. Did u just dump her? How did u feel after letting her go? Guilty/Relief?

Mkuu it was not easy for her to accept the reality but alikubaliana na uhalisia
Ilimchukua muda sana kukubaliana na ukweli na ilinichukua muda kujiondoa maana alikuwa akija home mara kwa mara na mawasiliano yalikuwepo though sio tena yale ya kawaida ila just as friend and as time goes on she realized that she can not change the reality and she accept to loose me and i feel somehow guilty for kwa kile nilichofanya ila nilijipa matumaini it was for good
 
Dah!!! Ila kila kitu kinawezekana itabidi tupokezane wakati wa kuvaa ukivaa leo mimi navaa baada ya siku mbili
utaeeeeeeza kaka mkubwa?styl ya maboys xul uko mabodng ah sana tu ata kama kitu kina fangas akunaga kulega afu u kno wat Gods great ata kuumwa wala unakua poa.ka vp poa usikonde niweit nikiingia masjid ww sepa nazo
 
Uliwezaje? to let reality takes its course? I'm curious to know how were you able to let go someone whom u said she loved and cared for you so much. Did u just dump her? How did u feel after letting her go? Guilty/Relief?
SHERRIF ARPAIO..........Do you feel LOVED???
 
Back
Top Bottom