Do you know what is consummation?


Consummation need not to be done right away. Just in reasonable time depending on the facts of each case!
 
Hii pasua kichwa, naona maruweruwe tu.

Sasa hivi watu wakioana, wiki ya kwanza tunawawekea kideo cha kuwarekodi wasije wakadanganya mahakama.
 

Wewe utakuwa mwanafunzi nini? Leo ndio kwenye course ya 'family law' ndio mmefundishwa? Canon Law inaongelea vizuri tu kuhusu suala hili na kuelewa sio lazima uwe lawyer!!!!!!
 
Hivi right away ni muda gani? Nipe kwa SI unit za mwaka, siku, miezi, saa, dakika au sekunde.

Leo naenda kumkonsumeti Bishanga.

Consummation need not to be done right away. Just in reasonable time depending on the facts of each case!
 
Last edited by a moderator:

To me that law is a dinosaur because for the most part it goes counter to the realities of modern life.

First, it's awfully hard to prove that consummation didn't take place. I just don't know how they go about proving it.

Secondly, I see an issue with privacy. Whether or not me and my wife have consummated our marriage is no one's business. And just out of spite, someone can just make up things just to sully your image.

Will the court just take the complainant's word for it and render a decision? What if she/he is lying just to get out of the marriage?
 

Ndiyo maana nasema hiyo ni moja ya sheria za kijinga. It just doesn't make any sense to me.
 
consummation need not to be done right away. Just in reasonable time depending on the facts of each case!
reasonable time, what do u mean? Within 24 hrs or?
 
Hivi right away ni muda gani? Nipe kwa SI unit za mwaka, siku, miezi, saa, dakika au sekunde.

Leo naenda kumkonsumeti Bishanga.
#

Hapo ndio nashindwa kuelewa hiyo right away ni muda gani
Right unapotoka church au ukimalizana na Shekhe au right baada ya kutoka ukumbini, au usiku wa kwanza wa harusi maana ikifika saa saba na uko ukumbini bado hiyo ni siku nyingine au mwezi huo au mwaka huo
Yaani ni muda gani
 
Wajamen kinachoongewa ni consummation ya NDOA. Kama kabla ya kufunga ndoa walishafanya tendo mara nyingi tendo hilo lilikuwa nje ya ndoa kumbe si consummation.

We are on the same line!
 
reasonable time, what do u mean? Within 24 hrs or?

Reasonable is subjective....reasonable time to me is not necessarily reasonable time to you. That's why I always say that law is maddeningly subjective because so much is always left up to individual interpretations.
 
reasonable is subjective....reasonable time to me is not necessarily reasonable time to you. That's why i always say that law is maddeningly subjective because so much is always left up to individual interpretations.
basi hii kweli pasua kichwa!
 
Ndiyo maana nasema hiyo ni moja ya sheria za kijinga. It just doesn't make any sense to me.

Mkuu ndoa ya aina hii inakuwa voidable sio void ab initio

Voidable marriages
Subject to the provisions of sections 97 and 98, a marriage shall be voidable if–
(a) at the time of the marriage–
(i) either party was incapable of consummating it;
(ii) either party was subject to recurrent attacks of insanity or epilepsy;
(iii) either party was suffering from venereal disease in a communicable form; or
(iv) the wife was pregnant by some person other than the husband; or
(b) the marriage has not been consummated owing to the wilful refusal of one party to consummate it;
(c) the wife had not attained the age of eighteen years and consent to the marriage as required by section 17 had not been given and the court sees good and sufficient reason to set the marriage aside.

Sasa tatizo hapo ni kuproove kuwa ni kwa vipi ndoa haijawa consummated
 
Wewe utakuwa mwanafunzi nini? Leo ndio kwenye course ya 'family law' ndio mmefundishwa? Canon Law inaongelea vizuri tu kuhusu suala hili na kuelewa sio lazima uwe lawyer!!!!!!

Yeah. Student. Perhaps at Tumaini! Happy now? Ask me anything to prove whether im a student or otherwise! And its never a sin to be one.
 
Hiyo ni sheria ya Tanzania au wapi? Vipi kwa ndoa za jinsia moja (say wanawake tupu) hii dhana ya 'consumation' (insertion?) inakuwaje? Na vipi kama watu wanatumia mpira (condom) hiyo consumation inakuwaje?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…