RONALD URASSA
Member
- Sep 28, 2010
- 9
- 0
Ni kweli wanaweza kuiba kura, lakini mi nadhani tukipiga kura kwa wingi kwa Dr. Slaa itampa nafasi kubwa Dr. Slaa kushinda hata kama wataibaIssue ni kwamba ki haki na kiualali kabisa dr slaa ni rais, ila sasa kwa kuwa mgombea urais wa ccm ndiye mwenye serikali na majeshi yote na nec amewachagua yeye kwahiyo kura lazima zitaibwa tu,labda mniambie ni mikakati gani ya ulizi iliyo wekwa kuthibiti wizi wa kura? Peopleeeees? So justtell me those strategies and man power which will be used. Thanks.
Ni kweli wanaweza kuiba kura, lakini mi nadhani tukipiga kura kwa wingi kwa Dr. Slaa itampa nafasi kubwa Dr. Slaa kushinda hata kama wataiba

Wakifanya kama Kenya kumuapisha haraka......na matokeo yatakuwa kama Kenya......Koffi Annan, Obasanjo n.k wajiandae!..wazee datas za jikoni ni kuwa vyombo chini ya uenyekiti wa mkulu kwenye kikao cha siri ..imeamuliwa kuwa hata akishinda ....hawatampa ..na wamepanga kukimbilia kumwapisha haraka kama walivyofanya Kenya ...na kwa kuogopa aftermath ya mpango wao ndio maana wamemtuma LT Gen Shimbo ....atume alert ili watu wasidhubutu kupinga matokeo.............hali itakuwa mbaya kwani hata zanzibar imeamuliwa akishinda maalim pia hawampi....so jeshi litakuwa na kazi kubwa sana....na kuna dalili za kuzorotesha maridhiano.....
Inside info zinasema wanasema kama Zanzibar CUF wamekuwa wakishinda siku zote na hawawapi..itakuwa kwa bara????.............Ambako hata mwaka 1995 walichakachua......
maafisa wa juu wa usalama na jeshi wana hofu kuwa Mkulu akishindwa ...ajira zao zitakuwa mashakani...ni propaganda ambayo wamepikwa nayo.......na wamepewa jukumu la kuokoa jahazi...lakini ni wazi kuwa maafisa wa vyeo vya kati na chini hawafaidiki kwa lolote na uchakachuaji na ubabe unaotarajiwa kufanywa..
..wazee datas za jikoni ni kuwa vyombo chini ya uenyekiti wa mkulu kwenye kikao cha siri ..imeamuliwa kuwa hata akishinda ....hawatampa ..na wamepanga kukimbilia kumwapisha haraka kama walivyofanya Kenya ...na kwa kuogopa aftermath ya mpango wao ndio maana wamemtuma LT Gen Shimbo ....atume alert ili watu wasidhubutu kupinga matokeo.............hali itakuwa mbaya kwani hata zanzibar imeamuliwa akishinda maalim pia hawampi....so jeshi litakuwa na kazi kubwa sana....na kuna dalili za kuzorotesha maridhiano.....

Ni kweli huwa wanaiba pale tofauti inapokuwa ndogo. Lakini Slaa akipata kura mil 11 na Kikwete kura mil 3 hawana ujanja inabidi wakubali tu. Lakini kama Slaa akipata kura mil 8 na Kikwete mil 7.2 hapo wanachakachua kabisa hawa watu, hawaaminiki hata kidogo.
Issue ni kwamba ki haki na kiualali kabisa dr slaa ni rais, ila sasa kwa kuwa mgombea urais wa ccm ndiye mwenye serikali na majeshi yote na nec amewachagua yeye kwahiyo kura lazima zitaibwa tu,labda mniambie ni mikakati gani ya ulizi iliyo wekwa kuthibiti wizi wa kura? Peopleeeees? So justtell me those strategies and man power which will be used. Thanks.
Kuna Masoja wataasi. Kwani masoja wakileta noma Kikwete atafanya nini?
Na huyo Makame lazima asome matokeo kwa mtutu siku hiyo.
Kwani masoja hawaoni jinsi Watanzania kwa mamilioni wanavyoteseka na bado wanadanganywa?
https://jamii.app/JFUserGuide CCM all the time
..wazee datas za jikoni ni kuwa vyombo chini ya uenyekiti wa mkulu kwenye kikao cha siri ..imeamuliwa kuwa hata akishinda ....hawatampa ..na wamepanga kukimbilia kumwapisha haraka kama walivyofanya Kenya ...na kwa kuogopa aftermath ya mpango wao ndio maana wamemtuma LT Gen Shimbo ....atume alert ili watu wasidhubutu kupinga matokeo.............hali itakuwa mbaya kwani hata zanzibar imeamuliwa akishinda maalim pia hawampi....so jeshi litakuwa na kazi kubwa sana....na kuna dalili za kuzorotesha maridhiano.....
Inside info zinasema wanasema kama Zanzibar CUF wamekuwa wakishinda siku zote na hawawapi..itakuwa kwa bara????.............Ambako hata mwaka 1995 walichakachua......
maafisa wa juu wa usalama na jeshi wana hofu kuwa Mkulu akishindwa ...ajira zao zitakuwa mashakani...ni propaganda ambayo wamepikwa nayo.......na wamepewa jukumu la kuokoa jahazi...lakini ni wazi kuwa maafisa wa vyeo vya kati na chini hawafaidiki kwa lolote na uchakachuaji na ubabe unaotarajiwa kufanywa..
Jina la director wa uchaguzi Tanzania ni Mheshimwa Kiravu na aliyekuwa director wa uchaguzi Kenya wakati huo ni Mheshimiwa Kivuitu.
Haya majina yanaweza kuwa yanaashiria mambo mabaya kuhusu matokeo ya uchaguzi