‘Do you Remember’ song by Phil Collins: Huwezi amini sikujua hii nyimbo naipenda sana kumbe ni makosa nilifanya ila basi

‘Do you Remember’ song by Phil Collins: Huwezi amini sikujua hii nyimbo naipenda sana kumbe ni makosa nilifanya ila basi

Fbn

JF-Expert Member
Joined
Jul 31, 2016
Posts
15,749
Reaction score
37,420
Kuna mkasa hapa niliwapa ambao age ikishafika ndio basi katika mahusiano.

Katika nyimbo zangu pendwa hii nyimbo nilitumiwa kipindi kabla sijajua umuhimu wake kipindi hiko kama salamu za barua nyimbo fulani.

Ila Nimeishia kulia na umri uwezi kurudi nyuma wala wakati.

Nimekubali nilikosea.
Nimerudia nyimbo ya kunipa matumani ya cher -believe.

Maisha nimekubali wana JF kwenye mahusiano.
download (1).jpeg
 
✨️✨️✨️🤣🤣😂😂😂😂
 
Back
Top Bottom