Binkcarter
JF-Expert Member
- Jul 23, 2014
- 413
- 460
Ebhana ilikuwa ni noma ... Mtoto Jack kanizungusha Sana na drawing board langu [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]. Chuo Safi Sana.. I remember that life.. boom life na warembo wa UDBSHaaaahaaa Enzi zetu wacoet tulipata shida kwa watoto wa udbs[emoji1]