elmagnifico
JF-Expert Member
- Jul 7, 2011
- 8,261
- 9,733
1. If you don't care why start a thread?2. You mean I should not hate thieves since in the future my kids "gonna be among them"?3. You are just an empathy looking gay!!!
Personally, I really don't care what two consenting adults do in the privacy of their bedroom. Why should I care? Aren't they over 18 years old? I think as a nation we have our priorities misplaced. We should be fighting vices like Ufisadi, Aids, Malaria and paedophilia instead of wasting our energy on grown ups who want to do whatever with their own bodies in their own bedrooms!
Remember you may hate gays and lesbos today but your own son or daughter may just grow up to be one of them!
View attachment 51123
Mwenye kitop cha JF?kuna mmoja hapo ni mwana Jf
kuna mmoja hapo ni mwana Jf
Kwa hiyo mwanao akiwa shoga utamkana?
Hujali lakini inachefua
Please do us a favor and remove it. Nadhani tunaweza kujadili bila hizo picha.
Umeona inavyosumbua macho na roho.
Lizzy Luu kumbe JF wanauza top za njano ..na bukta ya ku fanania lolz.Itanichefulia wapi wakati niko busy na mambo yangu binafsi? Hata muda wa kukaa na kufikiria bila kukumbushwa kama hivi sina.
Pamoja na kwamba inasumbua binafsi sijali watu wazima waishivyo maisha yao. Sitaki kuwapangia namna ya kuishi kama ambavyo mimi sitaki kupangiwa namna ya kuishi.
Lizzy Luu kumbe JF wanauza top za njano ..na bukta ya ku fanania lolz.
Ikimgusa mtu wako wa karibu
kama mtoto
bado hutajali anachokifanya akiwa kajifungia?
Embu kwenda huko. . .Si-LOL na wewe mpaka uniambie ile kitu.
Ni LOL mpaka na we ukiri ... in advance nuna kama ukitaka ... ulianza wewe mi nakusindikiza .. haya niambia kama una bukta ya njano.
Akiwa kafikia umri wa kujitegemea na anajitegemea basi itabidi tu nikubaliane na hali halisi ingawa itakuwa kwa shingo upande. Lakini kamwe sitamkana.