Dr Lizzy
Platinum Member
- May 25, 2009
- 31,009
- 60,629
Paulss kusema "nawachukia sana". . "siwezi support" hakuwezi punguza uwezekano wa uzazi wetu wenyewe kutoanguka kwenye hilo janga hivyo sioni haja ya mimi kuanzisha chuki nao au kusumbuka sana na wanayofanya. Nnachoweza kufanya ni kujitahidi wakwangu asije akanguka huko kwakudanganywa na ulimwengu.Nyie warembo mnayo haki ya kusema I dont care as long as wanajitambua na mko busy na mambo yenu........
Lakini pale toto lako la kiume litakapo kuletea "mume" wake badala ya mke..................you cant stand it, inauma
Omba Mungu na uwalee watoto wako katika maadili waepuke hii laana