Do You Support Gay Rights In Tanzania?

Paulss kusema "nawachukia sana". . "siwezi support" hakuwezi punguza uwezekano wa uzazi wetu wenyewe kutoanguka kwenye hilo janga hivyo sioni haja ya mimi kuanzisha chuki nao au kusumbuka sana na wanayofanya. Nnachoweza kufanya ni kujitahidi wakwangu asije akanguka huko kwakudanganywa na ulimwengu.
 
Haaaahhhhhhh...!!! Duuuuhhhh..!!!:A S 13::A S 13::A S 13::A S 13::A S 13:

David Cameron ananyemelea na kuanza kuingia taratiiiibu.:redfaces:
 
...ooops!..sikujua kama hii chocho inatokea huku TGNP...nakuta watu wanajadili hii mambo...God 4bid..ngoja nigeuke zangu!
 
NONSENSE! no one is expected to support such immoral and ungodly acts, to hell with your evil proposal you so called Boflo! and as your ID suggests it seems you enjoy and may be participate in such filthy cursed activities!
Na kwa kujibu hoja yako uliyoweka kwenye red, ina maana hatuna haja ya kuchukia wezi,mjambazi,makahaba n.k kwa kuwa watoto wetu wanaweza kuwa hivyo!? i guess you are some how deranged!
 
But we can help them to make a good choice.........
Kama wewe mzazi hukereki wala kuonyesha kukerwa na ushoga inamaa na unampa ruhusa kuchagua kuwa shoga au hapana......is that what you means?
Haya mambo mara nyingi huanzia mashuleni au vyuoni, kama mwanao kaona na akatamani, akirudi likizo akuulize kama ni sahihi...are you sure you gonna tell her/him the way you comment here in JF? NO WAY........
 
Mwanangu wa kiume akiniletea 'mke' mwanaume. Ntamkalisha chini kumshauri aachane na hayo makitu. Asiponisikiliza ndo unakuwa mwisho wake kutumia jina langu. Ila mwanangu wa kiume akaniletea 'mme' mwanaume. Kuna hatari kabla sijamkana ntakuwa nshajitengenezea kesi ya mauaji kabla sijamkana...... Mwanangu wa kike akiniletea 'mke' au 'mme' wa kike, atakuwa na kipindi kirefu sana cha kushauriwa hata ikibidi wataalam watahusishwa kabla sijafuta jina lake kwenye orodha ya wanangu. Na hili ndilo neno la ODM.
 
si support hayo mambo,ila siwachukii.kuna mmoja namfahamu ni mwalimu wa sec.ana roho nzuri ajabu,na ni mwalimu anaejituma na anafanya kazi yake kwa uhakika.
 

Mpendwa ndio maana nikasema omba Mungu mwanao asiangukie huko kwa kujaribu kwa kadiri ya uwezo wako kumpa maadili mema na kumuandalia mazingira ya yeye kufanya maamuzi sahihi kwa kuonyesha kwa vitendo na maneno kuwa husapoti laana mbali mbali ikwemo ushoga.....
Wasiwasi wangu ni kuwa kama wewe mzazi hunyeshi kukerwa na jambo fulani hii inamaanisha unampa go ahead kufanya au la
It doesn't matter kama kuto kusapoti kwako hakupunguzi kitu, but play you part..........
 

sisi tunawafunza wenetu vitu ambavyo sisi tulifunzwa... na vingine vingi.
Mwanangu ntamfunza na ntamwelekeza njia ambayo mimi nadhani ni sawa.
Lakini baadaye akichagua au akitoka nje ya niliyomfunza ntajaribu kumuueleza.
akikataa kurudi njia hiyo na afuate ya kwake bado ntakuwa hapo kama mzazi.
Nadhani umenielewa.. Ntafanya nifanyalo nisipoteze maisha au uaminifu wa mtoto wangu.
Na sitaa kaa nifuate mkumbo wa watu .. maana kila mtu ana mawazo yake..
 
Babu ODM, ni rahisi sana kukana mtoto wa mtu mwingine
lakini wa kwako, unamkana mwezi au miezi miwili baadae unamsamehe.

Aisee, mwanao akipinda jamani, we sikia tu
hata ujidai vipi hujali, unajali
na unataka kumsaidia awe afadhali kidogo.

'moto huzaa jivu'

Hili swali ningeulizwa mimi ningejibu bila kusita.... NDIO. Tena si mara moja bali namkana mara zote.
 
You hit the point dude........
 
Kuonyesha kero sio guarantee kua hatoanguka, mwingine ndo unaweza ukawa unamsukuma huko ili akukomeshe wewe mzazi. Vile vile kutoonyeshwa kukerwa sio guarantee kua ataanguka huko. . .

Sababu zinazowaangusha huko sio mapokeo ya wazazi wao bali ni maanguko na mmomonyoko wa mambo kwenye ulimwengu huu. Binafsi mbona sijui wazazi wangu wana maono gani kuhusu hilo na sijaangukia huko? Hata leo hii wakiniambia wanakubali hiyo hali bado siwezi badilika pamoja na kwamba najua hawatonitenga. Hivyo hivyo naomba na kutumaini kwamba uzao wangu utaishi kwa misimamo binafsi zaidi ya kuiga iga kila aina ya ujinga. Na hilo ndilo ntakalojitahidi kuwafunza zaidi badala ya kuwaonyesha chuki juu ya watu fulani fulani.
 
Nimekusoma na nimekuelewa dada yangu.


 

this is a big problem in JF.. mtu kauliza swali unabaki kumkandia yeye ndio yuko hiivyo..
au yeye ni amewahi kufanya hivyo..
wapi amesema yeye ni gay au amewahi kufanya hilo tendo..?? yeye kauliza swali tu .. na kama hilo swali si appropriate
MODs wangesha ondoa..

N kipengele cha pili.. una kila sababu ya kuwachukia wezi, majambazi ...etc sababu wamefanya
kitu kumuumiza mtu mweingine... Je homosexual wamekufanya nini haswa mpaka uwachukie kiasi hicho??
 

Na hilo ndilo tatizo la msingi.Ongezeko la mashoga linatokana na sapoti wanayopata kutoka kwa jamii.Watu wengine wanajiingiza ukubwani kutokana na kuiga na mwishowe inakuwa adiction.Ni muhimu kupinga hili swala ili vizazi vijavyo visiathirike.
 
Rais mseven wa uganda alibwan na BBC kuhusu U gay .

Akasema tatizo nchi za ulaya zinataka kuimpose tamaduni zao africa.Akasema magay africa wamekuwepo na wapo lakini maisha yao kwa tamaduni (zetu )africa ni private . Mseven akasema Tatizo linakuja pale tunalazimishwa tuupromote.

Akasema mtu autaasisi wataaonekana wanapromote hiyo kitu kwa uganda ni Kosa .

Kifupi nakubaliana na Mseven
 
Me personally I like lesbos! They are so sweet when you get a chance to make love to them or watch them when they make love to each other!

dah! me pia! :disapointed:.. kuhusu homosexual wa kiume .. i don't care ..! BUT...! sitopenda kuwa nao karibu kama marafiki...
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…