Do You Support Gay Rights In Tanzania?

Lizzy I dont means to hate those who are gayz......just showing that guyz is unexeptable thing to our society.....thats your part
But what I like is that....... maandishi yako yanaonyesha you dont support gayz
 

Asante Afro......

Hata mm nilimshangaa, nikaona wacha nijinyamazie tu
 
si support hayo mambo,ila siwachukii.kuna mmoja namfahamu ni mwalimu wa sec.ana roho nzuri ajabu,na ni mwalimu anaejituma na anafanya kazi yake kwa uhakika.
Mi pia sisupport, but kuna advert ya CNN ambayo jamaa is a deaf, dumb, gay na mbaya zaidi ni HIV positive, huwa namuonea huruma sana. Hawa watu pamoja na hali zao inabidi wasaidiwe n should be protected. Na ukifanya uchunguzi utagundua kuwa wengi wao wamezaliwa na hormones za kike. It could be u, lets protect them!!
 
MY TAKE on this........
Don't hate them or treat them badly
But dont support it, and play your part to avoid more became gayz
Coz ni kinyume cha maadili yetu na maamrisho ya Mungu
 
Lizzy I dont means to hate those who are gayz......just showing that guyz is unexeptable thing to our society.....thats your part
But what I like is that....... maandishi yako yanaonyesha you dont support gayz
That's where the hate starts. . .
Ni ngumu sana kukataa kitu passionately bila kuonyesha chuki juu yake maana itakutaka kutocheka cheka kuhusu hilo jambo.
 
wapo wanaume wengine wanasema wanachukia gay,kumbe wao wenyewe wanapakuliwa.huwa hapo sielewi,ila wanafanya mambo siri.na wapo wengine wana admit ila wanachukia hicho kitendo,na kuacha hawawezi.hapo pia huwa sielewi.wengine huwa abused wakiwa wadogo,na wao huo mchezo huendelea nao
 
That's where the hate starts. . .
Ni ngumu sana kukataa kitu passionately bila kuonyesha chuki juu yake maana itakutaka kutocheka cheka kuhusu hilo jambo.

Mfano mwanangu anasoma IFM ananijia na kuniuliza dady roommates wangu wanafanya hivi na mmoja kaniomba nishiriki...nahisi kuvutiwa,is this right?
Jibu utakalo mpa ndio litaonyesha you support guys or not.....
If you dont mind wewe utamjibuje?...............
 
Boflo again...this time anakuja na mada ya aina yake. Well, wanachofanya watu in private is non of my business. But I dont like that business at all. Boflo, wewe si umeoa?
 
Ntamwambia hapana maana sio sahihi.
Tatizo ni kwamba baadhi ya watu hapa ni extrimists. . . waliotayari kuwanyanyasa hao watu kimwili, kifikra,kihisia na kusambaza chuki vyote in the name of 'kutoonyesha support'.
 

I think as a nation we have our priorities. We should be fighting vices like Ufisadi, Aids, Poverty, HOMOSEXUALITY and Ignorance.
 
Gay rights ni bullshit sio tu tz bali dunia nzima. We mwanaume itakuaje aolewe halafu watu wahalalishe?
 
Kongosho asali ya ODM.... mpenzi wangu na mpendwa wangu.....

Ntamsamehe mwanangu kwa kosa lolote lile atakalofanya lakini si USHOGA.

Niape?:A S-fire1:
 


Siwezi kuwa mpenzi wa jambo lisilokuwa la kawaida!
 
Hili swali ningeulizwa mimi ningejibu bila kusita.... NDIO. Tena si mara moja bali namkana mara zote.

Sawa, huyo ni wewe na huo ni uamuzi wako. Mimi siwezi kumkana mtoto wangu kisa tu ni gay. Kuna magay wengi tu ambao ni binadamu wema sana.

Sasa nikuulize swali jingine, ukiwa mgonjwa umezidiwa sana na kupelekwa hospitali utakataa tiba endapo daktari na nesi anayekuhudumia wote ni magay?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…