Doctor kakimbia mji baada ya kunusurika kuuawa na aliyekuwa mke wake

Nimejifunza kua mapolisi wetu hawako kwaajili ya amani .

Sent from my Nokia C1 using JamiiForums mobile app
Kama ulikuwa hukulijua ilo mapema ulichelewa sana...ukiachilia magwanda na imani yetu kwao hawa ni binadamu tu kama wengine.....wana majukumu na mahitaji sawa na watu wengine na wanahitaji pesa kutatua changamoto zao pia, wana hulka na tabia kama wengine ko sio ajabu kukuta polisi anaogopa tukio mpaka raia wa kawaida anasaidia.....
 
Naomba unitag na nyingine kama zipo ulizoandika nimekuwa adicted sasa nikimaliza moja nataka na zingine
 
Daaah, kuna la kujifunza hapa.

Sent from my SM-A025F using JamiiForums mobile app
 
Kina vitu Wana jifunza mkuu,
Elimu Ni ufunguo wa maisha sister
Na watu wanaangamia kwa kukosa maarifa

Sent using Jamii Forums mobile app
unajua ni nini kimenichekesha jamaa amesema akimaliza moja anataka aendelee na nyingine yaani kama series vile
sema na mimi naelekea kuwa addicted na nyuzi zako maana kila nikiingia nataka nijue umepost nini,tuhurumie baba J
 
Nimejifunza kutumia insulin kwa mtu anayekusumbua/kukuonea kwa namna yoyote ile.

Kulenga unyayo, the rest ni planning tuu
 
Japo imehusisha maafa so kisikitisha Ila very interesting
 
Bado hujasolve tatizo kijana,you need to solve the problem vinginevyo atakupeleka ardhini
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…