pumzihaiuzwi
JF-Expert Member
- Mar 27, 2015
- 3,273
- 3,083
habari wakuu Msaada wa haraka unahitajika huyu doctor nasikia ana patikana aghakhan je kuna hospital nyingine nanaweza kumpata? Pale gharama zao kubwa sana kwa sisi wa hari za kawaida.
Natanguliza shukrani.
Sent using Jamii Forums mobile app
Natanguliza shukrani.
Sent using Jamii Forums mobile app