Doctor manuwar kaguta

Doctor manuwar kaguta

pumzihaiuzwi

JF-Expert Member
Joined
Mar 27, 2015
Posts
3,273
Reaction score
3,083
habari wakuu Msaada wa haraka unahitajika huyu doctor nasikia ana patikana aghakhan je kuna hospital nyingine nanaweza kumpata? Pale gharama zao kubwa sana kwa sisi wa hari za kawaida.

Natanguliza shukrani.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Soma ulichoandika kama utakielewa. Mtu mmoja atapatikanaje sehemu mbili tofauti kwa wakati mmoja?
 
Back
Top Bottom