pumzihaiuzwi JF-Expert Member Joined Mar 27, 2015 Posts 3,273 Reaction score 3,083 Mar 5, 2019 #1 habari wakuu Msaada wa haraka unahitajika huyu doctor nasikia ana patikana aghakhan je kuna hospital nyingine nanaweza kumpata? Pale gharama zao kubwa sana kwa sisi wa hari za kawaida. Natanguliza shukrani. Sent using Jamii Forums mobile app
habari wakuu Msaada wa haraka unahitajika huyu doctor nasikia ana patikana aghakhan je kuna hospital nyingine nanaweza kumpata? Pale gharama zao kubwa sana kwa sisi wa hari za kawaida. Natanguliza shukrani. Sent using Jamii Forums mobile app
mtzedi JF-Expert Member Joined Dec 13, 2011 Posts 5,983 Reaction score 6,171 Mar 6, 2019 #2 Soma ulichoandika kama utakielewa. Mtu mmoja atapatikanaje sehemu mbili tofauti kwa wakati mmoja?
pumzihaiuzwi JF-Expert Member Joined Mar 27, 2015 Posts 3,273 Reaction score 3,083 Mar 6, 2019 Thread starter #3 mtzedi said: Soma ulichoandika kama utakielewa. Mtu mmoja atapatikanaje sehemu mbili tofauti kwa wakati mmoja? Click to expand... Mkuu hawa madaktari bingwa wanakuaga na nyumba ndogo (hospital za deiwaka) Sent using Jamii Forums mobile app
mtzedi said: Soma ulichoandika kama utakielewa. Mtu mmoja atapatikanaje sehemu mbili tofauti kwa wakati mmoja? Click to expand... Mkuu hawa madaktari bingwa wanakuaga na nyumba ndogo (hospital za deiwaka) Sent using Jamii Forums mobile app
mtzedi JF-Expert Member Joined Dec 13, 2011 Posts 5,983 Reaction score 6,171 Mar 6, 2019 #4 pumzihaiuzwi said: Mkuu hawa madaktari bingwa wanakuaga na nyumba ndogo (hospital za deiwaka) Sent using Jamii Forums mobile app Click to expand... Hapo sawa,nimekuelewa.
pumzihaiuzwi said: Mkuu hawa madaktari bingwa wanakuaga na nyumba ndogo (hospital za deiwaka) Sent using Jamii Forums mobile app Click to expand... Hapo sawa,nimekuelewa.