Doctor of veterinary medicine na doctor of medicine

Dindai

JF-Expert Member
Joined
Mar 12, 2012
Posts
931
Reaction score
1,659
Habarini wanajanvi, ni yupi mwenye nafasi kubwa ya ajira na mwenye pesa nzuri? Kati ya hao
 
Kuna watu wamesoma political science and sijui kitu gani, wamepata mikazi ya kupiga jaramba tu na wanalipwa kama vichaa. Sokoni mwa ajira unajiuza na kujipangia bei. Ukiwa agressive and thinking out of the box, hata usome blah blah gani unakuwa na nafasi kubwa tu.

Kama unaweza kudare kumuambia mtu unanihitaji kwa sababu zifuatazo, utazipata.
 
MNh embu funguka flesh kwanza mbona kama ujasomeka vile.....maana na mimi ningependa faham iyo kitu aisee
 
Habarini wanajanvi, ni yupi mwenye nafasi kubwa ya ajira na mwenye pesa nzuri? Kati ya hao
Wote wana nafasi sawa ya ajira kwa kuwa ni wachache.
Kama umeuliza hivi kwa lengo la kuchagua kozi ya kusoma, BVM ni ngumu kuliko MD.
 
kumbe eeh... vp phamacist mkuu yani kwa ugumu na mshiko inakua vp embu funguka kwanza........
 
Namaanisha aina ya kozi uliyosoma ina sehemu ndogo kwenye mafanikio yako. Unaweza kusoma ualimu ukawa mwalimu wa kata huko tandahimba. Lakini unaweza kujiingiza kwenye tafiti za kijamii na ukawa na hali njema zaidi.
MNh embu funguka flesh kwanza mbona kama ujasomeka vile.....maana na mimi ningependa faham iyo kitu aisee
 
soma unacho jiskia wewe acha kuleta tambo hapa wakati matokeo nado
 
kumbe eeh... vp phamacist mkuu yani kwa ugumu na mshiko inakua vp embu funguka kwanza........
degree ya Pharmacy ni ngumu.
Inahitaji uwezo mkubwa wa kukariri na ku-recall.
Ni ngumu kuliko MD.
ila inalipa zaidi kuliko MD unapoanza kazi.
 
Kwa kuwa nchi ina uhaba wa Madaktari wa Binadamau (MDs) nenda MD (kama unataka kufanya maamuzi ya kipi cha kusomea)
 
Ujinga nao ni kipaji! Na hapa umeonesha kuwa na kipaji hicho, tena cha kuzaliwa!
 
hamisi kigangwalla ni MD lakini ni politician na CEO wa kampuni yake.
Kwa Tanzania nakushauri usomee ufisadi!
 
Wote wana nafasi kubwa ya ajira kwa sababu ya uchache wao.,mwenye pesa kati ya hao ni yule anayeziona fursa akazitumia.,
 
Kama focus yako ni ajira you are already f^%#d up!

Veterinary Med ndio ina nafasi kubwa zaidi ya ajira.

Ushauri wangu kwako ni kwamba achana na kufikiria ajira, fikiria KIPATO. Ukiikiria kipato unakuwa more creative na more productive kuliko kufikiria ajira.

Hata kwenye kipato bado vet med inalipa zaidi. Cha msingi uwe na passion ya kuvumilia harufu ya mavi ya mifugo na damu za machinjioni.

Ingekuwa Ulaya ungekuwa daktari wa mbwa, ila Bongo mbwa na paka hawapelekwi hospitali!
 
i do take my cat Tom to the vet everynow and then!! And i do wish we had more professionals in the field cause it gets a bit tricky sometimes 2 get a good doc nearby.
 
Unafanya vizuri sana kumtunza Tom ipasavyo...
 
Kama focus yako ni ajira you are already f^%#d up!

Veterinary Med ndio ina nafasi kubwa zaidi ya ajira.

Ushauri wangu kwako ni kwamba achana na kufikiria ajira, fikiria KIPATO. Ukiikiria kipato unakuwa more creative na more productive kuliko kufikiria ajira.

Hata kwenye kipato bado vet med inalipa zaidi. Cha msingi uwe na passion ya kuvumilia harufu ya mavi ya mifugo na damu za machinjioni.

Ingekuwa Ulaya ungekuwa daktari wa mbwa, ila Bongo mbwa na paka hawapelekwi hospitali!

Teh teh teh teh! Kweli JF ni noma aiseee,
 
degree ya Pharmacy ni ngumu.
Inahitaji uwezo mkubwa wa kukariri na ku-recall.
Ni ngumu kuliko MD.
ila inalipa zaidi kuliko MD unapoanza kazi.

nashukuru sana mkuu kwa kuniongezea maarifa....
 
kumbe eeh... vp phamacist mkuu yani kwa ugumu na mshiko inakua vp embu funguka kwanza........

dogo hizo MD au pharmacy usijaribu kugusa MUHAS. nenda hivyo vyuo vingine ukale bata then mtaani mnakuwa sawa. i hate muhas mpaka basi.
 
kwa nn unaihate mkubwa mbona unatutisha sana....!!
 
Back
Top Bottom