wa UDOM
Member
- Apr 10, 2011
- 34
- 2
Doctor Spora kisanga,Mhadhiri wa Chuo Kikuu cha Dodoma,tunakushutumu kwa kutosahihisha tests zetu za Research na kisha kutuwekea zero.saa hii tunalalamika unaanza kukusanya upya majina ya uliowawekea zero na kugawa marks wakati course work zimeshatoka.hatukuelewi!hivi unajua maadili ya kazi kweli au ndio umewekwa hapo na ndugu yako?