Doctor Spora Kisanga Udom vp?

Doctor Spora Kisanga Udom vp?

wa UDOM

Member
Joined
Apr 10, 2011
Posts
34
Reaction score
2
Doctor Spora kisanga,Mhadhiri wa Chuo Kikuu cha Dodoma,tunakushutumu kwa kutosahihisha tests zetu za Research na kisha kutuwekea zero.saa hii tunalalamika unaanza kukusanya upya majina ya uliowawekea zero na kugawa marks wakati course work zimeshatoka.hatukuelewi!hivi unajua maadili ya kazi kweli au ndio umewekwa hapo na ndugu yako?
 
mkuu ili wadau wakuchukulie serious ondoa avatar ya hilo gaidi
 
Doctor Spora kisanga,Mhadhiri wa Chuo Kikuu cha Dodoma,tunakushutumu kwa kutosahihisha tests zetu za Research na kisha kutuwekea zero.saa hii tunalalamika unaanza kukusanya upya majina ya uliowawekea zero na kugawa marks wakati course work zimeshatoka.hatukuelewi!hivi unajua maadili ya kazi kweli au ndio umewekwa hapo na ndugu yako?
Hiyo ndio elimu ya bongo! Chakachua twende!
 
Sidhani kama ataona hapa,
sidhani kama tatizo lako litatatuliwa kwa njia hii
Ila nafurahi ume-unload what was bothering you! Psychologically ni nzuri sana kufanya hivi
 
Back
Top Bottom