Doctor wa heshima na umeme wa mgao

Doctor wa heshima na umeme wa mgao

MakinikiA

JF-Expert Member
Joined
Jun 7, 2017
Posts
5,104
Reaction score
6,827
Kwangu Mimi angesubiri kwanza miaka mitano ili nimpe marks Ila kwa sasa naona ana 45% tu kwenye utendaji.

Labda kwa kuruhusu watu kulamba asali na wengine kuangalia kwa macho ndio heshima yenyewe.
Umeme changamoto bado, mfumuko wa bei, japo maji ametatua baada ya kelele nyiiiiingi .
 
Kwangu Mimi angesubiri kwanza miaka mitano ili nimpe marks Ila kwa sasa naona ana 45% tu kwenye utendaji .
Labda kwa kuruhusu watu kulamba asali na wengine kuangalia kwa macho ndio heshima yenyewe.
Umeme changamoto bado japo maji ametatua baada ya kelele nyiiiiingi .
Hiyo 45% nyingi sana. Huko kutukuzwa heshima, heshima ipi kwa lipi?. Labda kwaa kusafiri nje ya nchi kwa muda mfupi tangu awe Rais.
 
Kwangu Mimi angesubiri kwanza miaka mitano ili nimpe marks Ila kwa sasa naona ana 45% tu kwenye utendaji .
Labda kwa kuruhusu watu kulamba asali na wengine kuangalia kwa macho ndio heshima yenyewe.
Umeme changamoto bado,mgumuko was bei, japo maji ametatua baada ya kelele nyiiiiingi .
Mtakatifu wako alikuta mipango ya kinyerezi,akakimbilia bwawa ambalo haliishi kwa miaka mitatu,mbaya zaidi miaka yote alijenga 30+%,mama mwaka tu kafika 70+%,anaajiri,anaongeza mishahara, madaraja wanapanda,mikopo elimu ya juu na nk,endelea kulia matanga
 
Wewe zuzu sana hiyo mikopo unayoisema IPI sakata LA wanavyuo linajadiriwa mpaka bungeni.
 
Kwangu Mimi angesubiri kwanza miaka mitano ili nimpe marks Ila kwa sasa naona ana 45% tu kwenye utendaji .
Labda kwa kuruhusu watu kulamba asali na wengine kuangalia kwa macho ndio heshima yenyewe.
Umeme changamoto bado,mfumuko wa bei, japo maji ametatua baada ya kelele nyiiiiingi .
45% zote hizo? Mi nampa gwala a.k.a Hi 5 percent
 
Kwangu Mimi angesubiri kwanza miaka mitano ili nimpe marks Ila kwa sasa naona ana 45% tu kwenye utendaji .
Labda kwa kuruhusu watu kulamba asali na wengine kuangalia kwa macho ndio heshima yenyewe.
Umeme changamoto bado,mfumuko wa bei, japo maji ametatua baada ya kelele nyiiiiingi .
Hebu acheni kulalama bila sababu. Hivi mlitarajia kwa mwaka mmoja afanye miujiza ya vyanzo mbadala vya umeme. Huyu mama kafanya mambo mengi sana ndani ya muda mfupi, ni vile tu mmeamua kuvaa miwani ya mbao.
 
Back
Top Bottom