Doctor wa heshima na umeme wa mgao

Doctor wa heshima na umeme wa mgao

Mama ana zaidi ya 45% kwasabb hauwi, hateki, hapori, hafilisi Wala hatukani watu hovyo kama yule jini jiwe mtoa roho

Mbona ww haukufilisiwa? It's because unafanya mambo ya halali
 
Mama ana zaidi ya 45% kwasabb hauwi, hateki, hapori, hafilisi Wala hatukani watu hovyo kama yule jini jiwe mtoa roho
Hahahaha nasikia mwezi wa kwanza na yule wa mbinguni wamejipatia dolali laki moja kila mmoja kwa kusamehe kodi. Hahaha, sisi hatumpingi kabisa Mama ila hao viwavi jeshi kwenye timu yake ndiyo wanamharibia sana kiasi kwamba utendaji wa Mama ni -45%
 
Mbona ww haukufilisiwa? It's because unafanya mambo ya halali
Yaani kabisa, kuna mijitu isiyokuwa na akili imekalili eti kuua mara kufilisiwa, yaani hii mijitu natamani ijue ukweli nchi inavyoibiwa kwa sasa ili ifunguke akili
 
Wakuu nipeni mchanganuo wa kufunga solar power ya taa 12 kwa masaa 12. Ya usiku.yaani jumamosi hakuna uzalishaji wa viwanda bado tunakatiwa umeme?.
Huku ninakokaa serikali haiufanyii fair,tupo nyuma ya cate hotel, viwanja vya UTT,barabara tunajijenga wenyewe,maji tunanunua mjini,Ulinzi hakuna,umeme nao ndio hivyo.
 
Nipo hapa nimezungukwa na watumishi wa umma wanasema picha ya raisi wa sasa ukutani haitishi kama ile ya awamu ya 5 kwa hiyo hawaogopi kufanya makosa .
 
Back
Top Bottom